- Jun 4, 2023
- 24
- 67
- 400
Wanakijiji leo nasherehekea miaka kadhaa ya kuzaliwa kwangu..
NASHUKURU Mungu kwa kunifikisha siku ya Leo...
Lakini pia SIO kinyonge!
Siku hii nasherehekea pamoja na mastaa wakubwa duniani
Kule HOLYWOOD yupo WILLY SMITH na hapa TZ,
Yupo MCH. DR. ELIONA KIMARO...
basi napokea zawadi kwa niaba Yao!