Kijiji Notes CMS

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
Jun 3, 2023
2,590
6,053
2,100
Kijiji Notes Management System ni mfumo wa kutunza notes zako kidigidali, utacreate account and then start writing your notes

Hata simu yako ikipotea Basi unajua mahali pa kupata notes zako, mfumo huu ni bure

Bado nipo KWENYE stage za mwisho za development nafikiri kesho au kesho kutwa nitaurelease kwa test, umeundwa kwa php na database ni MySQL

Mimi sio mzuri kwenye font-end Ila nimejitahidi kuifanya kuwa na muonekano unaoeleweka

Nimezingatia all security features kipindi na develop

Nilitaka kuifanya open source Ila haitakuwa hivyo kwa wale watakao pendezwa na project hii wanaweza unganisha nguvu tuka code pamoja kipindi tunaifanyia upgrades na maintenance

It's very simple and it will be accessed over here
 

Similar threads

Wanakijiji leo nasherehekea miaka kadhaa ya kuzaliwa kwangu.. NASHUKURU Mungu kwa kunifikisha siku ya Leo... Lakini pia SIO kinyonge! Siku hii nasherehekea pamoja na mastaa wakubwa duniani Kule HOLYWOOD yupo WILLY SMITH na hapa TZ, Yupo MCH. DR. ELIONA KIMARO... basi napokea zawadi kwa...
Replies
8
Views
347
We started Kijiji with a purpose to build stronger and more homelike environment. All who care about making Kijiji more thriving, vibrant, and interesting are welcome. We hope to gather people of many ages and perspectives, including those connected to business, governments, community groups...
Replies
27
Views
815
Huyu guest kanifurahisha sana aisee
Replies
61
Views
2K
This thread is unique because it is dedicated wholeheartedly to making your coffee-drinking experience the absolute best it can be. Let's discuss why we love drinking coffee, favorite coffee drinks, reviews of various coffee machines and shops, great books and other resources about coffee, and...
Replies
23
Views
606

Recommendation

See popular novels


Kijiji Q and A


Engage in smalltalk


Let's grow up


Greats moments ever

Top Bottom