Chit-Chat

Members engage in small talk, fun gossips and discussion on unimportant matters.

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

This is for those who are awake late at night and simply can't sleep but still want to chat without having to have skype or switch tabs on another site to chat! You can talk about anything, make friends, and chitchat.
Replies
18
Views
512
Wakuu mko poa, nawasalimu kwa upendo,,, Hivi umewai kujiuliza kama dunia ingekua haina kurupushani ingekuwaje? Yani kila kitu ni kamserereko, kila kitu ni chema, no pain, hakuna usaliti, hakuna kulia yani ni furaha tu, yani suala la uongo lisiwepo kabsa, wizi wizi huu na uonevu wote hamna...
Replies
26
Views
520
Jambo Afrika! Unapokuwa mwenyewe geto, nyumbani unafanya nini? Wengi wanapenda kucheza mziki, wengine kusikiliza mziki, wengine kiwatch muvi, wengine kucheza game.... Wengine Wanapendelea kukaa uchi, wengine wanapenda kupika pika na kulala kula.. Wewe ukiwa alone unapendelea kifanya nn?
Replies
25
Views
783
Gafla mlango ulifunguliwa na zainabu akaingia nilitumia ushapu wa hali ya juu nilimpush Sasha mpaka chini akaingia uvunguni, Zainabu alipoingia hakufanikiwa kumuona ila shuka ilikuwa imeanguka chini akainama kuiokota mapigo ya moyo yalinienda mbio nilipata wasiwasi kuwa anaweza kumuona, Kama...
Replies
4
Views
19
Wakuu mko gud? Mimi niko gudi kabisa na mshukuru muumba wa mbingu na nchi niko mzima, na nina furaha na amani, nmeshiba, na nina kama afu kumi na tatu za kenyA mfukoni😊 Najua mpaka hapa nitakua nimeshakwaambukiza ka furaha na ka amani kwa wote ambao hamko sawa😀 Kumekuwa na misemo ya hekima...
Replies
10
Views
467
Yaani watu wako wa tofauti kwenye hii dunia, inakuwaje unamdalalia chajuu mtu wako wa karibu? Unapata nguvu kabisa ya kumpiga cha juu mtu anaye kwamini? Mzazi ni mtu wa kumdalalia? Mke/mume ni mtu wa kumdalalia? Rafiki na ndugu ni watu wa kuwadalalia chajuu? Kuna jamaa leo kanipigia simu...
Replies
5
Views
386
ase ujobless kitu kibaya sana unalala mpaka mgongo unauma ukiamka huoni cha kufanya unarudi kualala unachezea simu macho yanauma mishipa ya kichwa inapasuka ase hapana 🫡🫡
Replies
52
Views
602
Is it good to keep important secrets from the people u love according to Levi Garrison and Dustin How do u see it members Coz I want to try their skills
Replies
11
Views
498
"If you don't like something, change it. If you can't change it, change your attitude. Don't complain." Wakuu mko gudi? Mmeshiba? Mna Amani? Leo nimekuja na hii kitu inaitwa KULALAMIKA. Mara nyingi watu walalamishi awajuagi wanatabia hii, kwahiyo kuwashauri ni ngumu maana ubishi ndio sifa yao...
Replies
6
Views
105
Wakuu kuuliza sio ujinga Hivi haya matairi yaliyo nyanyuliwa inakuwaga ni kwasababu gani maana nmejaribu kujiuliza Je niili yasichafuke? Au yanapancha? Au gari alina mzigo? Au linapunguza ulaji wamafuta? Au linatumika kama breki😄 Wadau mnisaidie, au yamechoka yanpokezana na wenzake kwa zamu?
Replies
7
Views
99
How are you my fellow villagers.. Nmeona niwaletee mkasa mfupi wa kijana mmoja wa hapa mtaani kwetu yeye anaitwa FOGO... Fogo ndio jina alilopewa na wazazi wake, ukimcheki utazani watu wanamkejeli kutokana na kwamba jina na muonekano wa jamaa(ni usiku na mchana) yaani haviendani.. Uyu mwamba...
Replies
10
Views
228
Habari zenu wakuu..... Katkit hapa, baada ya kuugua kwa kipindi kirefu (almost 3 months) namshukuru sana Mungu nimepata nafuu sasa. Ugonjwa usikie kwa jirani aisee, usije ukadharau ugonjwa wowote, hakikisha unawahi hospital unapata tiba mapema kuepuka gharama za ziada. Mungu ni wetu sote!
Replies
14
Views
471
Wakuu kwema? Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, ni mtoto watatu katika familia ya watoto wa 5, mwaka huu namaliza chuo maswala ya misitu. Baba yangu ni mstaafu alikua ni mwalimu wa chuo (lecturer) Chuo cha maendeleo ya jamii, mama yeye alikua anajishughulisha na mashirika ya kusaidia...
Replies
15
Views
520
Wakuu kwema? Binafsi yangu kuwaeleza watu kuhusu mipango yangu naona sio sawa maana watu niwajuaji sana wanaweza wakaanza kukushauri negatively au kukukatisha tama...
Replies
13
Views
771
Wakuu kwema, Naomba mumshauri kijana mwenzenu, yeye ni mke wa mtu, amesoma mpaka diploma(pharmacist) na mume wake amemfungulia duka la dawa. Changamoto inakua yeye hana kauli ya biashara, yani anajitaidi kuchangamka lakini hawez, inapelekea wateja kumuama, na wengine wanamwambia kabsa awaji...
Replies
18
Views
751
Je ni kweli Paka/nyau anayo roho saba? Watu wengi wamekua wakisema kuwa paka wanaroho saba na hata kufa kwao nikwambine sanaa... Umesha sikia kauli "unaroho ngumu kama ya paka" Kuna siri gani kuhusiana na paka, maana nmeshasikia stori nyingi kama paka alizikwa akiwa hai baada ya mda akaonekana...
Replies
20
Views
960
Heri ya mwaka mpya 2024 Villagers... Nipo kitandani tangu juzi mwili umepata hitilafu za kiafya kidogo ndo nipo naupambania hapa, hopefully ntakuwa sawa ASAP! Straight to the point, hii forum forum yetu bafo inajitafuta lakini binafsi mimi ishanitendea makuu mno 🤣🤣🤣. Sijawahi juta kuwa...
Replies
22
Views
739
Kichwa kinajieleza, Kuna baadhi ya muvie na simulizi ukiziangalia basi unajikuta umewakubali sana baadhi ya wahusika. Kwa mimi ni kama ifuatavyo: 1. Pedro Alonso/Berlin - Money heist Jamaa ana calmness, man of action, genius na yupo very cold. 2. Tommy shelby - peaky blinders Huu ni mwamba...
Replies
7
Views
383
Wakuu nawasalimu mara tatu... Ikitokea shetani amekufa leo utaacha kufanya dhambi? Watu wengi wamekua wakimsingizia shetani kila kitu, ila ukweli ni kwamba hata shetani akifa leo bado kuna wakuu wataichukua ile nafasi ya shetani. vp unahisi utakua mtu safi kama shetani atakufa au kuondolewa...
Replies
35
Views
792
Back
Top Bottom