- Jul 8, 2023
- 1,319
- 2,993
- 2,100
Habari za mda huu.
Kuna njia nyingi sana za msamaha ambazo unaweza kumsamehe mtu
.
1.unaweza kumsamehe mtu ila kila mtu afuate hamsini zake/kila mtu afuate mambo yake.yani hapo utaki tena mawasiliano naye wala urafiki tena.kama ni mpenzi wako utaki tena muendeleo kwenye uhusiano naye utakuwa umemsamehe ila ndo tayari umeachana.
2.unaweza kumsamehe na kurudisha tena urafiki,mahusiano kati yenu hapo unasahau kila kutu kilichotokea kwenu unapiga moye konde na kuendelea na mahusiano,sema inahitaji uwe na moyo mgumu maana utakuwa kila ukimuona roho inauma na kukumbuka alichokufanyia.
Je msamaha upi ndo mnzuri??