Faith and Belief

This forum shares and discuss different faiths, beliefs and cultures of different people. This place open to anyone whether they have faith or no religious beliefs at all.

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

  • Sticky
Tell us what happened, how did it look, what did it say I haven't seen one yet
Replies
13
Views
449
  • Sticky
Warumi 3:28 Basi, twaona ya kuwa mwanadamu huhesabiwa haki kwa imani pasipo matendo ya sheria. Yakobo 2:26 Basi, kama vile mwili bila roho umekufa, vivyo hivyo imani bila matendo imekufa. Imani ya RC Catholic inaamini katika Yakobo 2:26 Kwamba "Imani bila matendo imekufa". Ila ndugu...
Replies
32
Views
894
🔴There’re certain things in life that are not in unending supply; they’re limited. 🔴One of them is time. Learn to save time. Keep track of your time. 📖Ephesians 5:16 Redeeming the time, because the days are evil. 🔴The Bible says for us to redeem the time because the days are evil. 🔴If you...
Replies
1
Views
19
Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
226
Zab 10:1 Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida? Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada; Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha...
Replies
4
Views
410
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake!! Kwa Lugha...
Replies
2
Views
393
Hagai : Mlango 2 9 Utukufu wa mwisho wa nyumba hii utakuwa mkuu kuliko utukufu wake wa kwanza, asema BWANA wa majeshi; na katika mahali hapa nitawapa amani, asema BWANA wa majeshi. Nakusalimu kwa jina la Yesu. Kwa wewe unaesoma uzi huu usikubali hata siku moja kurudi nyuma, kukata tamaa...
Replies
8
Views
417
Ni mwaka mpya ninafurahi kwa kila ambaye atasoma uzi huu ujue umeundwa kwa ajili yako Wewe utesekaye na kulemewa mwilini hadi rohoni basi leo miujiza ya Mungu itakuwa pamoja nawe Swali kuu ni umewahi muhisi na kuisikia sauti ya Mungu wako, umewahi omba hapo hapo likatendeka? Mungu wako si...
Replies
1
Views
433
Bwana Yesu Asifiwe? Tumsifu Yesu Kristo? Mwana kondoo ameshinda! Shalom shalom! Najua mko poa kabsaa, lengo la uzi huu ni kucomment somo ulilojifunza siku ya juma pili, kama hunapata shida kuandika unapost tu neno pekeake bila maelezo, hivyo yani kwanzia kesho natarajia mtatuma ili tujifunze...
Replies
21
Views
733
Can you tell me if the Church teaches that Joseph was a virgin, or was he a widower with children who was quite older than Mary? At the time of his betrothal to Mary, Joseph is presented as a man of old age. Where does this information come from? Was Joseph married before? Did he have other...
Replies
9
Views
571
Wapendwa nawasalimu.🙋 Nakupongeza kwa kuamua kufungua na kusoma uzi huu, Karibuuu... Ni mambo mengi mabaya na magumu na yakukatisha tamaa yametupata, hatungekuwa hapa leo kama sio kwa msaada wa Mungu. Uwezo huo wa kuweza kumudu hali ngumu na mbaya katika maisha na kuweza kusimama, baada ya...
Replies
1
Views
405
Nawasalimu, alafu moja kwa moja kwenye mada. Mungu amekuwa akikuonyesha kibali kila siku, je, unashukuru vya kutosha kwa kuona hivyo? Je, unaweza kuona hata ishara ndogo kabisa ya uaminifu Wake katika maisha yako? Siri ya kuwa na maisha utele ni kushukuru...... Yesu alipoinua ile mikate 5...
Replies
6
Views
408
Sitaki maoni yako, wala hayatabadili kitu wala sitarudi nyuma ninaamua sasa kuacha yote ili utukufu wa Mungu udhihirike kwangu kupitia hali ya uchungaji Moyoni mwangu Hakuna mtu mwenye kiwango kikubwa cha imani aliyepata Bure bila bidii kwa Mungu ndio ninafanya bidii ili kuishuhudia Injili ya...
Replies
2
Views
214
Wakuu wazima? Mmeshiba? Mimi niko gudii, Je? Kuna mahali ilifika ukaona bora ufanye ubaya tu, maana hata ukifanya mema milioni malipoyake ni mabaya tuu, umesha fanya mema kwa ndugu au rafiki wao wakakulipa ubaya? Usichoke kutenda mema ndugu mema yana faida, dunia inaitaji uwo wema wako mchache...
Replies
3
Views
298
Imani bila matendo imekufa, habari! huo ulikuwa ukaribisho wa mada ya leo Wokovu ikiwa umeokoka na unatamani yale ya dunia basi umandhalilisha Mungu, wokovu wa kweli ni kumkubali Yesu kuwa Mungu na mwokozi wa mwaisha yako nakuziacha njia zako mbaya na kuubeba masalaba wako kuifuata ile njia...
Replies
7
Views
464
Niaje wandugu, refer to the heading above😁😁 Mazingira unayoishi au ulipokulia umepaona fursa au ndio kikwazo cha wewe kutusua? Je umeshawai kukaa nakutafuta kuona fursa ktk mazingira unayo kaa(unapo ishi?) Au umeshawai kumuuliza Mungu ufanye nini kutoka katika mazingira hayohayo unayo ishi...
Replies
1
Views
247
I really want to be profet or pastor but i don't know the way for success anyone with help don't be shy to god Yeah i know god is everything but he will send people for that I want to be at any cost
Replies
24
Views
703
Karibu utoe mtazamo wako kuhusu pombe, Kibinafsi pombe ni dhambi na inamadhara makubwa kwa wanywaji na wale wasio wanywaji....
Replies
29
Views
586
Kabla Ya Kuoana Shangazi Wa Bibi Harusi Anatakiwa Kufanya Mapenzi Na Bwana Harusi ili kuhakikisha Kama Bwana Harusi Anauwezo Wa Kufanya Tendo La Ndoa ... Shangazi kufanya ngono na mume wa mpwa wake Utamaduni wa shangazi wa bibi harusi kufanya tendo la ndoa na mume wa mpwa wake huenda likawa...
Replies
26
Views
538
Habari za wakati huu.. natumai haujambo, hata mimi niko salama sana.. Nimeanzisha uzi huu ili kujaribu kutoa tafsiri ya ndoto zako KIBIBLIA.. Kwahyo nakaribisha yeyote kushare ndoto yake hapa na mimi nitajitaidi kukupa tafsiri yake sawasawa na neno, kumbuka biblia ina kila kitu na ndio...
Replies
17
Views
559
Change does not roll in on the wheels of chance, but comes through continuous practice. You are a creator! Our words direct our lives. Our lives go where our words go. God's Spirit and angels need and use our words to work on our behalf. Do yourself a favour and zip up those negative...
Replies
1
Views
264
Hapa unaandika neno unalolipenda kutoka katika biblia Yeremia 29:11-13 BHN Maana, mimi Mwenyezi-Mungu ninajua mambo niliyowapangia. Nimewapangieni mema na si mabaya, ili mpate kuwa na tumaini la baadaye. Hapo ndipo mtakaponiita na kuniomba, nami nitawasikiliza. Mtanitafuta na kunipata...
Replies
40
Views
946
Back
Top Bottom