hakuna anayenitisha humu ndani kiukwelihaha unaogopa competition
nimepenyezewa taarifa, huyo guest ni wewehahaha
HUJUI TU
akija ajitambulishe tu kuwa ni yeye.. Ntakua advocate wakeAje amwage mistari
Ndo mnzurihaha mke gani? mke wa mtu
Huyo mgeni ni nani jamaniKwanza Leejay. Mwenyewe anasemaje
Simjui hata,, sijui ni nani..akiwa online tena nistue my friend nipost ajiunge na yeyeHuyo mgeni anafatilia ID yako kila siku post basi muombe ajiunge
usikute ni mtu ninayemfahamu anaangalia ninavyoishi hukuHilo tu usijali
Kanishangaza sana huyu jamaa