Hodi kijijini,
Watu tumekimbia mjini,
Kumbe Raha zipo kijijini,
Naitwa Allan,
Kijijini sio ziwani,
Kwamba ule tu jalalani,
Msikae Sana juani,
Naitwa Allan
Huku sio kama kule pangoni,
Kujaa ukungu na Moshi machoni,
Tunakaa Hadi kitandani,
Naitwa Allan
Tutabaki Huku kijijini,
Wengine...