You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly. You should upgrade or use an alternative browser.
Kijiji Off-topics
This is a forum of general posts that don't fit in any forums. Any serious subject not covered by the other forums and not prohibited.
Welcome to our community
Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login
Karibuni kwenye chumba cha mapopo. Kwa wale ambao wanakesha au kukosa usingizi mida ya wanga huu huu uzi ni special kwa ajili Yetu.
NB: Huu uzi ni special kwa ajili ya mida ya wanga sio mchana wala jioni. Kuanzia saa sita usiku mpaka saa kumi na mbili asubuhi🦉
Welcome you all
Hello! Leo jukwaa limedorola sana inaonekana akikosekana Gily one day humu hakutakuwa na activities kabisa
Jukwaa ni letu sote kabisa kama members wa mwanzo mnahusika kikamilifu ili baadae tujivunie jukwaa
Hebu weka ushauri na mbinu ili tusije angukia pua tukarudi kule tunakofukuchwa kwa red...
WanaKijiji baada ya mihangaiko ya simu umechoka, huu ni uzi pekee ambao tutakuwa tunatoa mrejesho kwa maswaibu ya kila siku katika harakati za kutafuta maisha
Leo bwana siku yangu haikuwa pouwa ni mambo ya ajabu mpaka nilitamani kugeuzia njiani ila Mungu alinishika mkono
Karibu
Two things you'll then need to do:
Open https://www.kijijiforums.com/webmanifest.php kisha refresh(this will make sure you don't have a cached manifest)
Ondoa app na install tena (this might not actually be necessary if it picks up the new manifest from step 1 - but just in case!)
Tofauti ya funzo tunalopata shuleni na lile tunalopata katika maisha;
Kwanza kabisa nikusalimu wewe mpendwa wa kf ni muda sasa tangu tumeonana(kupitia madandiko), nikushukuru pia in advance kwa kunisamehe kwa mwandiko wangu, bado nadhidi kuimarika, moja kwa zote kwenye madaaa
Katika maisha...
Shirika la Exit International la Marekani limezindua mashine maalumu la kujiua iitwalo ‘Sarco Pod’ ambayo inafanya mtumiaji afurahi na kuchanganyikiwa kwa wakati mmoja kabla ya kuaga Dunia, pia mashine hiyo haisababishi maumivu wakati mtumiaji anapotaka kujiua.
Kabla ya kujiua mashine hiyo...
Maisha ni safari ya kusisimua inayojaa changamoto, furaha, na mafunzo. Kila hatua inafungua milango mipya ya uzoefu, na kila siku ni fursa mpya ya kuchora njia yetu.
Kuanzia Mwanzo
Tunapoanza safari ya maisha, tunaletwa ulimwenguni kama kurasa tupu za kitabu. Kila tukio, kila uhusiano, na kila...
We are thankful that a few months ago KijijiForums was established as TanTalk, We are going to finish the year together we had many goals but today we are together
As friends and brothers, especially those who went through difficult paths together in ideas and developing the platform
As one of...
Ushawahi pata hisia za kutaka kutembelea sehemu au nyumba ambayo uliishi utotoni?
Una kumbukumbu za kutosha kuhusu nyumba nyumba hii au sehemu ambayo umekulia?
Karibu tukumbushane maisha ya utotoni na makuzi tuliyokulia hapa.
Binafsi:
Nimekulia Kinondoni B. Nilikuwa naona sifa sana kujiita...
Mark Zuckerberg ambaye amenaza ujenzi (a mega project) wa nyumba au makazi ya ardhini a.k.a maandaki maalum (underground bunkers) kwa ajili ya kujikinga na madhara pamoja na uaribifu mkubwa hata ule unaweza kusababishwa na silaha za maangamizi za nyuklia.
Ujenzi wa mabangaloo hayo yalio ardhini...
Wadau maisha magumu sana alafu hayako fear kabisa my plans are not completed na bado jau sana yani kero
Moja ninahamu sana kuhama home kozi sasa too much kuonana poa
Kupata kazi
Hebu sema na wewe nini ambacho hakijakamilika mwaka huu na mwaka ndo unaisha
Wagwaan wanakijiji wenzangu,
Imekuwa muda mrefu sana tangu nionekane kwa mara ya mwisho humu, I hope you'all doing great as I am. Niliwamiss sana wanangu Gily Hakimu dronedrake na wengine wote ambao tulipata wasaa wa kujumuika pamoja kijijini and the special & the only one in my heart my...
Lets say you find out your chikd isn't yours, would you still raise him/her?
NOTE: This excludes voluntarily getting involved witsinglele moms etc. So yeah, more a question in regards to paternity fraud.
We started Kijiji with a purpose to build stronger and more homelike environment. All who care about making Kijiji more thriving, vibrant, and interesting are welcome.
We hope to gather people of many ages and perspectives, including those connected to business, governments, community groups...
Habari za muda huu all villagers.
Kutokana ukuaji wa matumizi ya simu za mkononi na uwanda wake mpana wa matumizi mbalimbali applications mbalimbali zimetengenezwa kurahisisha mambo .Mimi hata nipoteze au ninunue simu mpya hizi ndizo orodha ya apps zangu ambazo haziwezi kukosa.
1.Whatsap ...
Wadau maisha ya nyumbani magumu nataka ni hamie kwangu bado sina kazi ila najitafuta nitapata ili mwezi wa 10 niingie evening shift huku natafuta pesa zangu
Kwanza sipendi kupangiwa chakula (silagi nyama na sipendelei mboga za majani)
Nataka nilale kwangu pumzi itaingia vizuri nipike...
Habari 👋👋👋 Kama ilivyo ada Mimi shujaaa wenu nimekuja na jambo, naomba tujadili wote sisi Wana KF
Je unaweza jifunza tabia mpya mfano Kuwa mkimya, kuachana na kuwaza/kutamani mapenzi, kunywa bia, kuacha ulevi, kupendeza hata kuwa MTU wa comedy
Ikiwa sio hurka yako je? Utaweza jifunza na...
Wakuu msiseme sikuwaambia masnichi wapo wengi kwenye maisha hata humu KF wapo,
Wanatuchora tu tushindwe ili wacheke
Nasemaje nasemajeeeeeeeee Mpaka kieleweke
Hellow! Leo tuzungumze kitu gani kinakuweka very happy kufanya
Binafsi i love coding hasa backend na Databases hua najisikia raha sometimes mpaka nasahau kuwa natakiwa kusoma masomo ya darasani, hasa ninapo learn new language or concepts (hua nafuatilia pia how others do) ili kujifunza easy...
Starting a business is a daring endeavor that demands unwavering determination, creative problem-solving, and a continuous quest for knowledge. While the startup world may seem worlds apart from the field of science, this is definitely not the case. In the early startup stages, you as a startup...
Umwa sana
Hitaji pesa
Anzisha biashara/shughuli yenye kuwahitaji sana
Oya wakuu hii ni quote tu marafiki wapo na wanafiki wapo watakupenda kwa namna flani ila baada ya muda hawako na wewe
Tupambane together tuijenge KF as members
Habari,
Leo kwa mbali mtaa ninaoishi nilisikia speaker wakisema kutakua na mnada ila sikutilia maanani,
Baada ya masaa mawili nadhani ndio mnada wenyewe ukawa unafanyika kuuza vitu vya huyo mtu baada ya kushindwa kulipa deni la bank,
Nimekaa nimetafakari sana nikabaki na maswali , hivi ukiwa...
MIMI ni nani? ili swali Yesu alilijibu vizuri, 👇👇
Mimi ni Mkate wa Uzima, Mimi ni Neno la Uzima; Mimi ndimi Roho wa Kweli; Mimi ni Uzima;
Mimi ni Mchungaji Mwema,
Mimi ni nuru ya ulimwengu,
Mimi ndio njia kweli na uzima..
Je mwenzangu wewe ni nani? kumbuka wewe sio jina lako, muenekano, wala...
Rank
Country
Traffic index
Time index (in minutes)
1.
Nigeria
310.6
62.8
2.
Kenya
242.1
51.6
3.
Egypt
231.8
48.5
4.
South Africa
189.3
39.0
5.
Morocco
137.1
37.0
WanaKijijj Msione kimya nipo bize kidogo, ila kwa mwendo wa raisi wetu wa sasa The great manenge najua nikitulia na kusettle humu nitakuwa mgeni maana vitu vutakuwa vishabadilika, nisi kuchoshe tusichoshane have a good day
Iwapo utabiri wa muda mrefu wa wanasayansi kwamba Afrika itagawanyika mara mbili utafikiwa, Tanzania, nchi yenye ukubwa wa kilomita za mraba 947, 300, inaweza kugawanywa na kuunganishwa na mataifa mengine kuanzisha bara jipya.
Tanzania inaweza kugawanywa katika sehemu mbili, kila nusu ikiwa ya...
Niende moja kwa moja kwenye mada,
Hivi sisi watanzania huduma kwa wateja tunachukuliaje? Hii elimu tunapaswa tukapewe wapi? Ukienda hospitali za binafsi na serikali huduma mbovu, ukienda ofisi za serikali kule ndio lazima ujute kabisa,
Ukija kwa ndugu zetu huku mtaani ndio utajuta kabisa
Kuna...
Wakuu napenda sana magari, na nazani nikipata kibunda ntaanza na gari nyumba baadae,
Mwanzo nlikua napenda sana Forester Subaru kwasababu masela wengi nlio kua nao wanayo kwahyo nisha yapanda sanaa, na kuendesha kidogo...
Ila kwa sasa gari iliyoko kichwani kwangu ni VW Touareg ya 2011...
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale....
Kama title inavyosomeka hapo juu, hebu tueleze kipindi una miaka 10 uliweza kufanya kazi za nyumbni au ndo ulikuwa bado unashikiwa fimbo kwenye kula?
Binafsi katika umri huo nilikuwa tayari nimeshafundishwa kazi zote za nyumbani na Bi. Mkubwa, nilikuwa...
English Version
Join the mission and have your name engraved on NASA’s Europa Clipper spacecraft as it travels 1.8 billion miles to explore Europa, an ocean world that may support life.
Swahili Version
Jiunge na misheni na jina lako liandikwe kwenye chombo cha anga cha juu cha NASA cha...
Uvivu ni hasara
Uvivu ni umasikini
Uvivu ni utumwa
Tujishughulishe katika kupambania ndoto, mvivu husema kwani si tutakufa tutaviacha, je watoto wako waishi kama wewe
Oya hii ni motivation zamani nilikuwa mvivu sana ila now nachapa sana kazi
Wakati mwingine Kushindwa ni nzuri. Ikiwa umeshindwa kwenye mtihani wako. Ikiwa umefeli mishe zako. Ikiwa hukufikia lengo lako. Ikiwa umeshindwa katika maisha yako ya mapenzi,..
Kushindwa sio mwisho wa maisha kwahvyo usiwaze, cha muhimu ni kuto kata tamaa...
Kuna wakati tunafeli tunalaumu ila...
Leo bwana nilikua busy from morning mpaka nakuja kushtuka ninywe chai saa 6 na 30 na hapo nakipindi saa 7 ikabidi nichague moja niache moja from home to chuo kwa muda huu wa mchana ni less than an hour
Ikabidi niache chai ni wai chuo nikapanda road kusubiri bajaji kweli ikaja nauli buku hapo...
Natumaini wote wazima...
@imeandikwa na the-great-manenge..
Tanzania ilipata uhuru 9 disemba 1961Ni miaka mingi sana imepita,tumeshuhudia taifa letu limepitia hatua mbalimbali za ukuaji wake,baba aliniambia miaka ya 70 mpaka 80s vijana walikuwa wanatabia nzuri sana,mtoto alikuwa sio wakwako...
Kipindi najiandaa kulala hapa
Nikafikiria baadhi ya nadharia za usiku, ila kabla ya yote nikajiuliza kwa nini siwezi kulala bila kusali, jibu tu nimuoga natafuta kisingizio
Nadharia kama tukilala roho zetu hutoka na kwenda kwa Muumba kisha hurudi, swali tukikesha je?
Mbona simu inavyoita...
Waungwana leo ningependa kutoa maoni ya kile ninachowazaga mda ninapokuwa free, japo sikuwa na time leo ila nitaweka facts kidogo
Unajua Maisha yetu ndio Nature yenyewe, ok namaanisha Nature ndio maisha na kipindi Mungu anaumba aliweka vitu viwili viwili yaani chochote lazima viwe inform of...
Maisha ni safari kama wahenga walivyosema, leo nataka tujadili jambo je sisi ndio tunapanga au maisha yanatupangia
Maisha yanaweza kuwa ni nature, umepanga uende kanisani unaamka umechoka
Unafanya kazi kwa bidiii na bado hufanikiwi, kipindi unapanga mambo yako na maisha pia yanakupangia baya...
Amani iwe nanyi wanakijiji
Kwenye cheti cha kifo sababu ya kifo haundikwa, kama malaria, kujiua nk
Je umewahi kuona cheti cha kifo cha ndugu , jamaa au rafiki?
Kuna cheti niliona sababu ya kifo ikawa kutoa mimba na hiiilinipa kutafakari maisha ya dunia kwa mara ya pili.
Kwa imani yangu...
Mambo tunayochukulia kawaida ila yanamdhara...
1) Utumiajiwa vidonge vya kuzuia mimba p2/morning pills, sio kwajili ya uzazi wa mpango bali ni kwa dharura tu,,
Inashauriwa usitumie zaidi ya mara mbili kwa mwaka...
2) Kusikiliza muziki sauti ya juu kupitia, earphones au headphones kila...
Katika moja na mbili Jumamosi usiku mwingi sana chimbo flani la walesa mavi, kula vombo kula vombo kula vombo mpaka natambaa, kudadeki wasela mavi wakasepa na kisimu changu cha kutambia mjini pumbavu zao. Nililia kisenge!
Silewi tena.
Bwana weee nakukumbuka enzi za utoto wangu shoti za umeme hazijawahi niacha salama
Nilipenda sana kutengeneza taaa, redio mota n.k
Nilishawahi kufuga samaki wa urembo kwenye dumu one day nikapata wazo kuwa inabidi niwatengenezee taa ili na wao usiku wapate kuona
Nilitafuta vifaa battery ya...
Baadhi ya watoto hawakujua kwamba maisha yao yalikuwa "hatarini" katika mji wa Suffolk nchini Uingereza kutokana na kuwepo kwa 'hemlock' kwenye njia yao ya kawaida ya kwenda shuleni, mmea wenye sumu ambao unaweza kumuua mtu ikiwa ataumeza.
Hata hivyo, hemlock sio mmea pekee unaohatarisha maisha...
Hili ndio jukwaa ambalo tunajua maana ya changes, chances, uhuru na haki ya kupinga
Tunaahidi kutoa huduma bora zisizo kuwa na kashikashi/mizengwe yeyote
Maoni ya watumiaji wetu ni muswada imara kwetu
Nachukua nafasi hii kuomba members wetu wa faida kualika watu ili tujaze hii forum, kupost...
The 2023 List: Facts and Figures
Inside Forbes' 37th-annual billionaires ranking.
Read more here
https://www.forbes.com/real-time-billionaires/#4b94dd263d78
Serikali ya Zanzibar imesema ni kosa kisheria mwanaume kuingia au kuishi viziwani Zanzibar akiwa amesuka nywele.
''Kwa mujibu wa sheria zetu ukikutwa utatozwa faini ya milioni moja za kitanzania ambayo ni zaidi ya dola 400 za kimarekani au kufungwa jela miezi sita au adhabu zote kwa pamoja,”...
This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.