- Jun 3, 2023
- 2,834
- 6,528
- 2,100
Shirika la Exit International la Marekani limezindua mashine maalumu la kujiua iitwalo ‘Sarco Pod’ ambayo inafanya mtumiaji afurahi na kuchanganyikiwa kwa wakati mmoja kabla ya kuaga Dunia, pia mashine hiyo haisababishi maumivu wakati mtumiaji anapotaka kujiua.
Kabla ya kujiua mashine hiyo itakuuliza maswali matatu ambayo ni 'Wewe ni nani?, ‘Uko wapi?, na Je unajua kitakachotokea ukibonyeza kitufe? baada ya kuyajibu atabonyeza kitufe kilichopo ndani ya sanduku na atajiua.