KIJIJINOTES 1.0V RELEASED

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
Jun 3, 2023
2,586
6,049
2,100
Hello kama nilivyohaidi kuwa ninaunda mfumo wa kuhifadhi notes kimtandao na sasa first edition is released you can download the source code downthere, pia nitaacha na maelezo machache jinsi ya kuinstall kwenye server yako

mfumo huu umeundwa kwa php na dabase ni mysql

baada ya kuupload script kwenye server yako, nenda kwenye myphpadmin na ucreate database baada ya hapo run sql query hizi ili kucreate table za kutunza data

SQL:
CREATE TABLE users (
    user_id INT NOT NULL PRIMARY KEY AUTO_INCREMENT,
    user_name VARCHAR(30) NOT NULL,
    user_email VARCHAR(100) NOT NULL,
    user_pass VARCHAR(255) NOT NULL,
    user_created_at DATETIME NOT NULL DEFAULT CURRENT_TIME,
    user_per INT(1) NOT NULL DEFAULT 1
)

SQL:
CREATE TABLE notes (
    id INT NOT NULL PRIMARY KEY AUTO_INCREMENT,
    user_id INT NOT NULL,
    user_name VARCHAR(30) NOT NULL,
    note_title VARCHAR(255) NOT NULL,
    note_body TEXT NOT NULL,
    created_at DATETIME NOT NULL DEFAULT CURRENT_TIME,
    FOREIGN KEY (user_id) REFERENCES users (user_id) ON DELETE CASCADE
)

Baada ya hapo nenda kwenye file limeandikwa classes kisha nenda kwenye dbconnect.php (Hili ndilo file linalo hold connection ya database)

Kisha badili
PHP:
private $host="localhost";
// Weka jina la database uliounda
 private $dbName="opp";
// Weka jina la user wa database
 private $user="root";
// Weka password ya user wa databse
 private $password="";

Badaada ya hapo create account then nenda kwenye dabase table ya user na ubadili kwenye colomn ya user_per kutoka default value yake ya 1 na uweke 0 (hii user_per inamaana ya user permission hivyo user mwenye permision ya 0 ndiye admin badili kwa user yule tu unayetaka awe admin otherwise acha kama ilivyo) baada ya hapo done now unaweza ingia kwenye admin panel


Maelezo mengi na upo interested yes i can install it for you with just donation of $1


nitakuwa narelease new version ya sofware hii pale tu nitakapo maliza kuandika


for demo you can view here https://kijijiforums.com/mynotes

pia unaweza hifadhi notes zako hapa https://kijijiforums.com/mynotes

download kijijinotes 1.0v
 
Last edited:

Staff online

Today's Birthday 🥳

Recommendation

See popular novels


Kijiji Q and A


Engage in smalltalk


Let's grow up


Greats moments ever

Top Bottom