kijiji

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

  1. Katkit

    Katkit is back!!!

    Wagwaan wanakijiji wenzangu, Imekuwa muda mrefu sana tangu nionekane kwa mara ya mwisho humu, I hope you'all doing great as I am. Niliwamiss sana wanangu Gily Hakimu dronedrake na wengine wote ambao tulipata wasaa wa kujumuika pamoja kijijini and the special & the only one in my heart my...
  2. Gily

    Kijiji imetimiza mwezi mmoja

    Wasalaam Kijiji ilianzishwa tarehe 03/06/2023 na leo hii tumetimiza mwezi mmoja. Kabla ya kuwepo Kijiji tulikuwa na TanTalk. Na wanakijiji wote tuliotoka nao Tantalk kuja hapa tunafurahia sana uwepo wenu. Tunajivunia uwepo wenu katika Kijiji na tunafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa...
  3. Urban Edmund

    kuna Mgeni mpya kijijini hapa hodi

    hodi hodi naingia, kijijini nimefika nimekuja tembelea, karibisho nalitaka kijiji kinavutia, nimepapenda hakika kijiji kipya kizuri, @Hakimu ututunzie
  4. Hakimu

    Simulizi: Kijiji cha Wakamoto na hekaheka za Gerbet

    WAHUSIKA Gerbet == @Gily Mkuu wa kituo == @mshamba_mkuu Muuza mahindi == @Analyse Wahusika wengine watakuja mbeleni KIJIJI CHA WAKAMOTO: Kijana msomi Gerbet anamaliza masomo yake ya udakatari na kupangiwa katika kijiji kiitwacho WakaMoto kwa ajili ya kupata kazi hapo, safari inaanza...
  5. Gily

    No respect whatsoever for Mr President

    Wasalaam Toka niingie madarakani na kuwa Raisi wa KijijiForums nimepata sonona sana. Kwa nini? Nimepata sonona kutokana na majungu ya watu humu ndani na nje ya hapa. Kwa sababu nimekuwa nikitwa majina ya ajabu ajabu ila leo mwana kijiji kunifata PM na kuniita Mama Samia nikavunga akaendelea...
Top Bottom