Uzi wa Vegans and Vegeterians

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
Joined
Jun 4, 2023
Messages
8,338
Reaction score
31,700
Points
2,100
Acts 15:29
29
You are to abstain from food sacrificed to idols, from blood, from the meat of strangled animals and from sexual immorality. You will do well to avoid these things. FAREWELL

Romans 14:21​

21 It is better not to eat meat or drink wine or to do anything else that will cause your brother or sister to fall.
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
Joined
Jun 4, 2023
Messages
8,338
Reaction score
31,700
Points
2,100
Soma Mwanzo 1:29 Mungu aliwapa mimea na matunda ya dunia kwa chakula Ila hakuwapa nyama na wanyama walikuwepo. Mungu hakukusudia mwanadamu ale nyama ila ni baada ya Gharika na chakula kuwa haba watu wakaanza kula nyama. Je wajua hili? @AlmightyGod
Genesis 1:29
29 Then God said, “I give you every seed-bearing plant on the face of the whole earth and every tree that has fruit with seed in it. They will be yours for food.
 
AlmightyGod

Active Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,336
Points
1,900

Kumbe umekwisha tambua gharika ilisababisha kutokea na uhaba wa chakula, Nahilo gharika lilisababishwa na mungu, Na mungu huyo huyo ndie aliamuru watu kula nyama si ndio..

KULA NYAMA KWA AFYA YAKO...MBOGA ZA MAJANI NI SEHEMU YA TIBA SIO LISHE”
 
Hakimu

Immortal Hero
KF Founder
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,821
Reaction score
6,503
Points
2,100
Kumbe umekwisha tambua gharika ilisababisha kutokea na uhaba wa chakula, Nahilo gharika lilisababishwa na mungu, Na mungu huyo huyo ndie aliamuru watu kula nyama si ndio..

KULA NYAMA KWA AFYA YAKO...MBOGA ZA MAJANI NI SEHEMU YA TIBA SIO LISHE”
Sasa @Gily mbona Ibrahim aliwachinjia wale malaika mwana kondoo
 
AlmightyGod

Active Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
464
Reaction score
1,336
Points
1,900
Mimi pia sipendi nyama kbs na hua sili ikipikwa hasa ya ng'ombe na wanyama wa miguu minne kdg angalau ya kukaanga naweza gusa vipande viwili vitatu ni ya kuku(paja) na kitimoto Rips kdg
Dah! Mnakosa vitu vingi sana yani kweli uwekewe makange ya kuku hutaweza kula kisa hajakaangwa aiseeeh! Nyinyi vijana mnapotea sana!
 
Similar threads

Bwana Yesu Asifiwe? Tumsifu Yesu Kristo? Mwana kondoo ameshinda! Shalom shalom! Najua mko poa kabsaa, lengo la uzi huu ni kucomment somo ulilojifunza siku ya juma pili, kama hunapata shida kuandika unapost tu neno pekeake bila maelezo, hivyo yani kwanzia kesho natarajia mtatuma ili tujifunze...
Replies
21
Views
744
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya kuwatoa udenda au kuwatamanisha wana kijiji. Embe na Kichumvi kwa mbali😋😋
Replies
17
Views
724
Wanaume !! Kila mwenye jinsia ya kiume anaweza kuwa mwanaume, lakini sio wote wenye uwezo wa kuwa wanaume wanaostahili kuitwa wanaume. Je sifa za mwanaume ni hizi? Wanaume halisi ni sugu; hawapaswi kulia? Mwanaume hatakiwi kula chips mayai? Wanaume halisi hawakubali yeyote awaongoze? Wanaume ni...
Replies
44
Views
932
Oya weee leo tumention misemo iliyowahi kutamba sana mitaani Kula chuma hicho Apeche alolo Shega
Replies
48
Views
1K
  • Sticky
Wasalaam Huu uzi wa kipekee wa kutupia picha ya chakula unachokula. Sio lazima Updike wewe unaweza kuwa umenunua au umekipika. Ingependeza ukatupia picha ukiwa hujala na baada ya kula😀 NB: Usi upload picha ya chakula vinavyowekwa mtandaoni
Replies
663
Views
16K
Back
Top Bottom