- Jun 4, 2023
- 8,338
- 31,698
- 2,100
Wasalaam
Binafsi mimi sipo kwenye kundi lolote bado. Ila ningependa kuwa kwenye kundi la vegetarians hapo baadae. Hapa tunatupia recipes za vegans au vegetarians ili tuwe na range kubwa ya vyakula.
Vegetarians- Hawa hawatumii nyama wala samaki kwenye milo yao au bidhaa au vyakula vilivyopikwa na nyama.
Vegan - Hawa Hawali chochote kinachotoma kwa mnyama mfano maziwa au mayai
Karibuni. .

Last edited: