Uzi wa picha ya chakula unachokula - Take a photo of food you are eating

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
Joined
Jun 4, 2023
Messages
8,338
Reaction score
31,698
Points
2,100
Hivyo vitunguu make sure unapiga mswaki hata mara mbili baada ya kula kuu, Huo mchanganyiko sasa
Haha hii ilikuwa engagement party, nilijaza kila kitu mezani. Nilichangia 150,000🤣 nikadhan narudisha hela yangu.

Usiku nilibeua sana vitunguu. Nilikuwa chupa tatu za maji ya baridi mwili ukae sawa. Sio poa.
 

Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,274
Reaction score
3,364
Points
2,100
Haha hii ilikuwa engagement party, nilijaza kila kitu mezani. Nilichangia 150,000🤣 nikadhan narudisha hela yangu.

Usiku nilibeua sana vitunguu. Nilikuwa chupa tatu za maji ya baridi mwili ukae sawa. Sio poa.
Nilijua tu😂😂😂
 

Similar threads

Bwana Yesu Asifiwe? Tumsifu Yesu Kristo? Mwana kondoo ameshinda! Shalom shalom! Najua mko poa kabsaa, lengo la uzi huu ni kucomment somo ulilojifunza siku ya juma pili, kama hunapata shida kuandika unapost tu neno pekeake bila maelezo, hivyo yani kwanzia kesho natarajia mtatuma ili tujifunze...
Replies
21
Views
743
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya kuwatoa udenda au kuwatamanisha wana kijiji. Embe na Kichumvi kwa mbali😋😋
Replies
17
Views
724
Wanaume !! Kila mwenye jinsia ya kiume anaweza kuwa mwanaume, lakini sio wote wenye uwezo wa kuwa wanaume wanaostahili kuitwa wanaume. Je sifa za mwanaume ni hizi? Wanaume halisi ni sugu; hawapaswi kulia? Mwanaume hatakiwi kula chips mayai? Wanaume halisi hawakubali yeyote awaongoze? Wanaume ni...
Replies
44
Views
930
Oya weee leo tumention misemo iliyowahi kutamba sana mitaani Kula chuma hicho Apeche alolo Shega
Replies
48
Views
1K
Wasalaam Binafsi mimi sipo kwenye kundi lolote bado. Ila ningependa kuwa kwenye kundi la vegetarians hapo baadae. Hapa tunatupia recipes za vegans au vegetarians ili tuwe na range kubwa ya vyakula. Vegetarians- Hawa hawatumii nyama wala samaki kwenye milo yao au bidhaa au vyakula vilivyopikwa...
Replies
45
Views
960
Back
Top Bottom