- Jun 8, 2023
- 693
- 2,144
- 1,900
Kama nawakera semeniWe ndo mpishi umepeleka kwa boss ukaamua uselfie msosi



Kama nawakera semeniWe ndo mpishi umepeleka kwa boss ukaamua uselfie msosi
Hahha tupia nondo tumekukosa parefu sanaKama nawakera semeni![]()
Wanawezaje kula mihogo kwanzaHaha ushaanza majungutopiary mihogo tuione
Sio nimepata, tumepata bebi wangu mzuriNaona babe umepata kazi saaii![]()
Nakumbuka asubuhi nilikuwa naachiwa 300 nkanunue bagia ninywe chai, acheni tuHahha tupia nondo tumekukosa parefu sanna
Umepitia magumu sana sasa kaokoke ili uipate na Raha ya Yesu MbunguniNakumbuka asubuhi nilikuwa naachiwa 300 nkanunue bagia ninywe chai, acheni tu![]()
Nimepanda mihogo, siku ya kuvuna nakuita uje tule mihogo ya kutoshaMvua nyingi miogo michungu siku hizi
nitakuja tupige na gahawa ya kutosha baada ya hapo maombi mpaka morningNimepanda mihogo, siku ya kuvuna nakuita uje tule mihogo ya kutosha
Umekalia kiti cha boss utafukuzwa kazi usijesema KF imekuponzaKama nawakera semeni
Bwana Omary huyo uliomuweka profile photo anauhusiano gani na wewe
Nilipokuwa nasoma History 1 advance, nikivutiwa sana na harakati zake.Bwana Omary huyo uliomuweka profile photo anauhusiano gani na wewe
Umeacha kula mihogo siku hizi
Hongera msomiNilipokuwa nasoma History 1 advance, nikivutiwa sana na harakati zake.
Sawasawa... si unajua kama nakupenda sanaSio nimepata, tumepata bebi wangu mzuri![]()
Can I get Amen???Sawasawa... si unajua kama nakupenda sana![]()
YeahCan I get Amen???
Haha asante. Nitatupia baadae mapocho pocho mengineHongera sana aisee![]()
Karibu kwetu HakimuTualikane wadau
Kesho napanda basiKaribu kwetu Hakimu
We jamaa utakuwa na kitambi kikubwa sanaThanks to the Wife. View attachment 2537
Sisi huku twala kwa macho
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.