Uzi wa picha ya chakula unachokula - Take a photo of food you are eating

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,906
Reaction score
4,046
Points
2,100
Nakubali kuitwa mwanaume wa Dar. Siwezi kula ugali wa mtama au mihogo. Sembe inatosha🤣
Ugali wa mtama uwezi ila mbege unakunywa, we jamaa acha masiara
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
8,084
Reaction score
29,329
Points
2,100
yule mchaga mshamba gily anasema wanawake wanaokula huo ugal wanavigimbi
Haha sasa unakuta mtu anakula ugali wa muhogo na maparachichi au dagaa. Mbona sangara wapo kiafya zaidi
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
8,084
Reaction score
29,329
Points
2,100
Acha basiii, yani una maanisha ugali wa miogo unakimbilia miguuni
Unajua wakati naambiwa nina ulcers kina vyakula niliambiwa vinaumiza tumbo

Ushawahi kula ugali wa mtama🤣
 

Similar threads

Bwana Yesu Asifiwe? Tumsifu Yesu Kristo? Mwana kondoo ameshinda! Shalom shalom! Najua mko poa kabsaa, lengo la uzi huu ni kucomment somo ulilojifunza siku ya juma pili, kama hunapata shida kuandika unapost tu neno pekeake bila maelezo, hivyo yani kwanzia kesho natarajia mtatuma ili tujifunze...
Replies
21
Views
737
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya kuwatoa udenda au kuwatamanisha wana kijiji. Embe na Kichumvi kwa mbali😋😋
Replies
17
Views
720
Wanaume !! Kila mwenye jinsia ya kiume anaweza kuwa mwanaume, lakini sio wote wenye uwezo wa kuwa wanaume wanaostahili kuitwa wanaume. Je sifa za mwanaume ni hizi? Wanaume halisi ni sugu; hawapaswi kulia? Mwanaume hatakiwi kula chips mayai? Wanaume halisi hawakubali yeyote awaongoze? Wanaume ni...
Replies
44
Views
921
Oya weee leo tumention misemo iliyowahi kutamba sana mitaani Kula chuma hicho Apeche alolo Shega
Replies
48
Views
1K
Wasalaam Binafsi mimi sipo kwenye kundi lolote bado. Ila ningependa kuwa kwenye kundi la vegetarians hapo baadae. Hapa tunatupia recipes za vegans au vegetarians ili tuwe na range kubwa ya vyakula. Vegetarians- Hawa hawatumii nyama wala samaki kwenye milo yao au bidhaa au vyakula vilivyopikwa...
Replies
45
Views
948
Back
Top Bottom