- Jun 4, 2023
- 8,338
- 31,698
- 2,100
Wanaume !!
Kila mwenye jinsia ya kiume anaweza kuwa mwanaume, lakini sio wote wenye uwezo wa kuwa wanaume wanaostahili kuitwa wanaume. Je sifa za mwanaume ni hizi?
Kila mwenye jinsia ya kiume anaweza kuwa mwanaume, lakini sio wote wenye uwezo wa kuwa wanaume wanaostahili kuitwa wanaume. Je sifa za mwanaume ni hizi?
- Wanaume halisi ni sugu; hawapaswi kulia?
- Mwanaume hatakiwi kula chips mayai?
- Wanaume halisi hawakubali yeyote awaongoze?
- Wanaume ni bora kuliko wanawake?.