Ujasiriamali ni nini, tofauti ya ujasiriamali na mfanyabiashara ni ipi?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
Jun 3, 2023
2,628
6,112
2,100
Mimi somo la ujasiriamli sio mzuri ila leo tujadili kuhusu hivi vitu viwili
Ujasiriamali na Biashara

Ujasiriamali ni nini?
Biashara ni nini?
Vinatofautiamaje?
Utajuaje huyu ni mjasiriamli na yule ni mfanyabiashara
Kipi bora zaidi
Kipi kinafaida kwa wengi?

Stay tuned i will be back soon.
 

Urban Edmund

Senior Villager
Platinum Villager
Jun 26, 2023
636
1,319
1,900
ujasiriamali unakua unaonyesha tabia za kutumia fursa inayopatikana
lakini pia unaonyesha pia kuyabadili mawazo kuwa vitendo

ufanyabiashara ni hali ya kununua kitu kwa bei ya chini na kuuza kwa bei ya juu ili kujipatia faida
 

Similar threads

Zab 10:1 Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida? Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada; Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha...
Replies
4
Views
357
Jambo Afrika! Unapokuwa mwenyewe geto, nyumbani unafanya nini? Wengi wanapenda kucheza mziki, wengine kusikiliza mziki, wengine kiwatch muvi, wengine kucheza game.... Wengine Wanapendelea kukaa uchi, wengine wanapenda kupika pika na kulala kula.. Wewe ukiwa alone unapendelea kifanya nn?
Replies
23
Views
765
Hili ni swali ambalo nimeulizwa ila nimeona nije niombe msaada kwa mabisnez mani wa KF Ukizingatia mtu mwenyewe hawezi kutembea all the time mtaani anatafuta tu njia ya passive income Ushauri wako Gily Kondeni0112
Replies
1
Views
404
Nimekutana na ex wangu leo nilitamani kukutana nae siku moja nimulize kwa nini aliniacha? Nikamuuliza kwa Nini ulivunja mahusiano? Akanijibu "kwa sababu hakuwa ananipenda" Hii imenifanya niwaze sana. Nimewaza kwa sababu mara ya mwisho kusex nilimkalisha kifo cha mende. Baada ya dakika...
Replies
26
Views
694
Wadau koo linauma ( Wanasaga ukitumia maji ya baridi, na kuna sehemu nilisoma ni et maambukizi kwenye tezi ) ila mimi sio mtumiaji sana wa maji ya baridi Nilikunywa Panadol ila wapi yani na mafua yameniandama hapa sioni raha za dunia nimeshindwa hata kupoga code ili niurelease ule mfumowa...
Replies
16
Views
424

Recommendation

See popular novels


Kijiji Q and A


Engage in smalltalk


Let's grow up


Greats moments ever

Top Bottom