Nisahihi kunywa maziwa ya pakiti bila kuchemsha?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
Jun 3, 2023
2,628
6,112
2,100
Habari 👋 husika na kichwa hapo juu je ni vizuri kunywa maziwa ya pakiti mfano asas bila kuchemsha mada hii imekuja akilini baada ya kunywa asas ya baridi na corn flakes

Binafsi napenda sana maziwa
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
Jun 4, 2023
6,950
22,283
2,100
Maziwa huwa nachemsha
Ingawa huko yanapotoka yanachemshwa


Wakati unayatoa kwenye pakti unaweza contaminate. Vizuri ukichemsha kuhakikisha usalama


Ila ya mtindi huwezi chemsha
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Jul 3, 2023
1,863
3,948
2,100
Huku kwetu kupata hayo ni connection
Pole sanaa.. mimi asubuhi nachemsha lita nliyochanganya mchaichai, nusu lita nakunywa asubuh iyo inayobaki naacha ipoe kabsa naipiga jioni au usiku inakuwa burudani.
 

Hakimu

Immortal Village Hero
Jun 3, 2023
2,628
6,112
2,100
Pole sanaa.. mimi asubuhi nachemsha lita nliyochanganya mchaichai, nusu lita nakunywa asubuh iyo inayobaki naacha ipoe kabsa naipiga jioni au usiku inakuwa burudani.
Duh! Unapata raha sana huku ukiyapata yametiwa na maji yani ni tabu
 

Recommendation

See popular novels


Kijiji Q and A


Engage in smalltalk


Let's grow up


Greats moments ever

Top Bottom