unaweza tembeza accessories za smartphone kwa mafundi, mic, chager usb adapter touch screan protectorWakuu kwa mtaji huu naweza fanya biashara gani alafu jioni nikatimba class
nunua smartphone, popular tecno, infinix, oppo used, kisha uuze kila simu ongeza 20k to 30k usinunue simu ya zaidi ya 170kWakuu kwa mtaji huu naweza fanya biashara gani alafu jioni nikatimba class
Wauzie wanachuo nguoWakuu kwa mtaji huu naweza fanya biashara gani alafu jioni nikatimba class
Biashara chuo ni ngumu sana mzee sidhani kama ni wazo zuriWauzie wanachuo nguo
Alete hiyo laki 5 tunywe bia huku tukiwa tunajadili biashara ipi afanyeBiashara chuo ni ngumu sana mzee sidhani kama ni wazo zuri
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.