Msaada wa haraka

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
Jun 3, 2023
2,628
6,112
2,100
Haha lala na Biblia. Unekesha siku mbili hujala😆
😂😂😂
Nadhani hukulala na njaa Hakimu .. ila siku nyingine upike tambi hazina mambo mengi
Nilienda nunua chips kwa mlevi na muhuni dah aisee nilikula nisife tu
Kama ulikuwa unanitegemea nikupe ushauri, maana yake umelala njaa 🤣🤣🤣
😂😂😂😂 hapana
Heri ya krismass wanakijiji. Kama uko Dar nipeni mwaliko sina muelekeo.

Hakimu kapoteza simu au? Sijamuona kitambo
Hahh Hakimu kafungiwa na binti wa kichaga hebu angalia sio dada yako kweli
 

Hakimu

Immortal Village Hero
Jun 3, 2023
2,628
6,112
2,100
Unasema umefungiwa na binti wa kichaga sio😬😬
Forrest Gump Running GIF
 

Similar threads

  • Locked
  • Sticky
Habari Hili ni jukwaa pekee la kupata msaada wa haraka kutoka kwa moderators. Kama una jambo, ushauri, ombi au wazo lako usisite kutujulisha kupitia advice and suggestions.
Replies
0
Views
117
Tatizo la kunyonyoka kwa nywele na kuwa na kipara limekuwa likiwatatiza wanaume wengi kwa muda. Shida hii mara nyingi huanza wanaume wakiwa wana miaka 30 hivi, na kufikia umri wa miaka 50 nusu ya wanaume huwa wanakabiliwa na tatizo hili. Tatizo hili hutokana na vinyweleo vya nywele, ambavyo...
Replies
18
Views
284
Ndugu zangu nazani mnajua ya kwamba mimi niko single, nmekuja hapa ili mnisaidie jambo hili... Kipindi cha nyuma kidogo nliangaliaga series ya GOT (game of throne).. kwa kweli nlijikuta nampenda sana huyu dada mother of dragon, Nasijawai penda mdada mwingine mpaka leo hii, kwahvo inanibidi...
Replies
49
Views
608
Oya wadau mwenye mbinu ya kunisaidia niweze kuongeza pesa zangu mara mbili au zaidi, yaani kudoubling hela nliyonayo sasa.. tupeane michongo
Replies
64
Views
1K
Wanakijiji amani ya Mungu iwe nanyi Naomba msaada kwa ajili ya mtoto huyu wa mjomba. Kwanza mjomba alizaa na mwanamke wa kichagaa wakaachana sababu sifahamu kwani nilikua mdogo kiasi. Sasa baadae mjomba akaja kuoa mwanamke mwingine wa kichaga ambae yupo bae mpaka sasa. Msaada ninao taka kutoka...
Replies
12
Views
307

Recommendation

See popular novels


Kijiji Q and A


Engage in smalltalk


Let's grow up


Greats moments ever

Top Bottom