- Jul 8, 2023
- 1,320
- 2,996
- 2,100
Mada nyepesi hivi mnatumia akili kubwaHii sio ndoto ila ni ishara kuwa umeanza kuchanganyikiwa taratibu...Hebu jiulize huko anapoishi anakutana na wangapi wenye mvuto na mkwanja mrefu na wenye umashuhuri mkubwa duniani...Sasa wewe kapuku unataka kutuletea hadithi za abunuasi hapa au pimbi na harakati zake mtaani....Fikiria zaidi acha kukaza fuvu...Tumia akili mtu wangu!
Acheni matumizi mabaya ya ubongo
Huyu anachokitaka hakijui bado anatamaa zile za mwanzo akiwa katoto
Maana aliona binti anavunjwa bikra na Jason monoa