- Jul 3, 2023
- 1,900
- 3,988
- 2,100
Ndugu zangu nazani mnajua ya kwamba mimi niko single, nmekuja hapa ili mnisaidie jambo hili...
Kipindi cha nyuma kidogo nliangaliaga series ya GOT (game of throne).. kwa kweli nlijikuta nampenda sana huyu dada mother of dragon,
Nasijawai penda mdada mwingine mpaka leo hii, kwahvo inanibidi nimtafute tu yeye naomba mnipatie mbinu au connection ya kumpata....
Natanguliza shukran zangu....