What's new

Mh. Raisi Gily kwanini usianzishe kamchezo cha pesa

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,725
Reaction score
6,253
Points
2,100
Yaani ni kweli japo sasa usemacho natumai wale wa natafuta ajira wangejazana hapa maana umeonesha njia ya wao kufikia pazuri ila sasa mimi naomba ninyi muwaze ila zaidi tuiwaze katika minajiri ya kuwanusuru kwanza wasio na mitaji japo wote ni wanufaika , ila najua mpka unatoa hilo wazo unayajua haya mambo vizuri embu tufungue vizuri inakuaje na inafanyaje kazi
Mi mwenyewe nasubiri huenda ndio professional yake
 
Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,725
Reaction score
6,253
Points
2,100
Na yenyewe nzuri ila sasa kama umetanguliza kusema maisha magumu sasa itakuaje itasaidia vipi kupunguza ukali wa maisha , je hizo hela zinakuzwa vipi ?
Au tufungue sehemu za watu kuandika proposal za mawazo ya biashara na kuwaunganisha na clients
 
Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,899
Reaction score
3,988
Points
2,100
Mimi nnajua yakua uwezi pokea bila kutoa, tuanze na kutoa kwaajili ya jamii, mfano Kf tunaweza tukajikoki tukafanya kama charity kwa orphanage, au tukachagua shule ya kuipelekea vitabu, au kifaa cha maabara kwajili yakujifunza, kwakufanya hivo kwanza trast between us itakua, alafu na watu watajua Kf kupitia iyo event, media ziko nyingi tu za kuripoti kuwa kikundi abc kimetoa mchango flani kwa jamii xyz
 
Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280

Wazo zuri sana
 
Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,725
Reaction score
6,253
Points
2,100
Mimi nnajua yakua uwezi pokea bila kutoa, tuanze na kutoa kwaajili ya jamii, mfano Kf tunaweza tukajikoki tukafanya kama charity kwa orphanage, au tukachagua shule ya kuipelekea vitabu, au kifaa cha maabara kwajili yakujifunza, kwakufanya hivo kwanza trast between us itakua, alafu na watu watajua Kf kupitia iyo event, media ziko nyingi tu za kuripoti kuwa kikundi abc kimetoa mchango flani kwa jamii xyz
Zuri ila hiyo pesa ya kuchangia inatoka wapi?
Wazo zuri sana
Ni zuri niliwaza pia niliwahi waza kuhusu KijijiFoundation
 
Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
2,100
Zuri ila hiyo pesa ya kuchangia inatoka wapi?

Ni zuri niliwaza pia niliwahi waza kuhusu KijijiFoundation
Tuko wanakijiji 68 mpaka sasa...I don't think kama kuna mtu atashindwa kudonate 5000 au 10000 kwajili ya hiyo event
 
Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,899
Reaction score
3,988
Points
2,100
Ndio ila nikama kumtumia mtu text wasapna hayupo online kabisa, hawezi ona
kikubwa nikufanya kinacho wezekana sasa
1.invite people as much as we can,
2.Creat content kila wakati...
Misingi ikiwa imara kutetereka kutakua ni ngumu hata kama tutapitia hardship
 
Similar threads

Rais mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amefariki leo, Februari 29, 2024 saa 11:30 Jioni katika hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu ya ugonjwa wa Saratani ya Mapafu. Tangu Novemba 2023, alikuwa anapatiwa matibabu huko London, Uingereza na baadaye kurejeshwa...
Replies
3
Views
440
Raisi Samia amvua DKt Wilbroad Slaa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023. Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X. Dk Wilbroad Slaa aliwahi kuwa Katibu wa Chadema Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweeden. Dk Slaa alipewa hadhi hiyo mwaka 2017.
Replies
4
Views
275
  • Featured
  • Article Article
Author: Unknown Type: Action and Adventure Posted : 07 October 2023 Status: Ongoing Synopsis John White is furious that someone has tried to make an advance on his girlfriend. In the end, he ends up behind bars after his attempt to protect her. Three years later, he is a free man but finds...
Replies
5K
Views
259K
Wakuu kuuliza sio ujinga Hivi haya matairi yaliyo nyanyuliwa inakuwaga ni kwasababu gani maana nmejaribu kujiuliza Je niili yasichafuke? Au yanapancha? Au gari alina mzigo? Au linapunguza ulaji wamafuta? Au linatumika kama breki😄 Wadau mnisaidie, au yamechoka yanpokezana na wenzake kwa zamu?
Replies
7
Views
88
Niaje wakuu, hivi wabongo wanawazaga nini? Unakuta mtu anawazazi kijijini wakati wazazi wako hai hawajengei nyumba na hela ipo.. Ila mzazi akifa tu ndio anaanza kujenga kwa fujo(wiki moja), hizi hela za kujenga nyumba haraka hvi zinakuwaga wapi sku zote?.. Unajiuliza inamaana marehemu hakustaili...
Replies
7
Views
128
Back
Top Bottom