• Support Our Forum

    We use ads to help cover hosting and maintenance costs. Ads are kept clean and non-intrusive.

    If you're using an ad blocker, please whitelist our site or disable injected ads.

    To report bad ads or request an ad-free experience, contact us or click here.

    Thank you for supporting the community!

Mh. Raisi Gily kwanini usianzishe kamchezo cha pesa

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

M koba ni salama hapakimbiliki afu inaonyesha michango aliyotoa kila mtu kivyake
 
Nina maana ukipata watu 20 au 30 kila siku mtu mmoja anatoa 5000 au 10000 na kila siku mtu mmoja anatoka.
Siitatusaidia kidogo kupambana na maisha.
Wewe ni prezidaa uwezi kimbia ukaacha app
Ndugu yangu sasa umeamua kuwasaidia wahitimu na wasiowahtimu kupata mitaji .

Naunga mkono hoja ila nikiwa katika minajiri tofauti kidogo , naomba kiwe ni kibubu cha kuweka bila kutoa atleast kwa mwezi ila wawe wanapewa wasio na kazi wala mitaji kwanza ili nao wainuke ila sasa kukubali kuwa huko ukubali kujulikana ulipo na nini unafanya isijekuwa wewe ni mtu wa nyumbani alafu unataka uingie kwenye kuchangiana mamilioni utatuliza .
 
Hii mbona ngumu
 
Kabisa kiwe kibubu tu
 
Hii mbona ngumu
Yaani ni kweli japo sasa usemacho natumai wale wa natafuta ajira wangejazana hapa maana umeonesha njia ya wao kufikia pazuri ila sasa mimi naomba ninyi muwaze ila zaidi tuiwaze katika minajiri ya kuwanusuru kwanza wasio na mitaji japo wote ni wanufaika , ila najua mpka unatoa hilo wazo unayajua haya mambo vizuri embu tufungue vizuri inakuaje na inafanyaje kazi
 
Mimi naona ingekuwa kama kijiji vicoba iwe tunaweka pesa mwisho wa sikutunavunja tunagawana
 
Similar threads

Rais mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amefariki leo, Februari 29, 2024 saa 11:30 Jioni katika hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu ya ugonjwa wa Saratani ya Mapafu. Tangu Novemba 2023, alikuwa anapatiwa matibabu huko London, Uingereza na baadaye kurejeshwa...
Replies
3
Views
492
Raisi Samia amvua DKt Wilbroad Slaa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023. Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X. Dk Wilbroad Slaa aliwahi kuwa Katibu wa Chadema Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweeden. Dk Slaa alipewa hadhi hiyo mwaka 2017.
Replies
4
Views
307
Our funniest member who eats pig in his own way Gily has finally reached 100 years today (jokes) but he is getting old Happy birthday and everyone take your time to wish him happy birthday The first sponsor of this community he invested all of its earnings operating Kijijiforums and forget...
Replies
2
Views
81
  • Featured
  • Article Article
Author: Unknown Type: Action and Adventure Posted : 07 October 2023 Status: Ongoing Synopsis John White is furious that someone has tried to make an advance on his girlfriend. In the end, he ends up behind bars after his attempt to protect her. Three years later, he is a free man but finds...
Replies
8K
Views
378K
Wakuu kuuliza sio ujinga Hivi haya matairi yaliyo nyanyuliwa inakuwaga ni kwasababu gani maana nmejaribu kujiuliza Je niili yasichafuke? Au yanapancha? Au gari alina mzigo? Au linapunguza ulaji wamafuta? Au linatumika kama breki😄 Wadau mnisaidie, au yamechoka yanpokezana na wenzake kwa zamu?
Replies
7
Views
172

Members online

No members online now.
Back
Top