- Jul 3, 2023
- 1,917
- 4,063
- 2,100
Mambo matatu muhimu wakati wa kuanzisha biashara
1. Hata kama unayo pesa ya kuanza biashara kubwa. Anza kidogo kisha ikuze kutokana na mzunguko unavoenda.
2. Kama ikiwezekana usifungue biashara mbali sana na eneo lako la umahiri.
3. Anza na mtindo mmoja wa biashara, na katika aina moja ya soko.. endelea kukuza soko kadiri unavozidi kuimarika
Usiku mwemaa