Mafanikio ni zawadi.

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,900
Reaction score
3,988
Points
2,100
sio uwe mhalifu, mhalifu mda wowote unachukuliwa uhuru wako....

kuna namna hawa matajiri wakubwa wanacheza na mifumo

mfano, kutoa rushwa, kukwepa kodi, kukata mishahara, kufukuza kazi mapema.... hivo
Binadamu tuna akili tofauti na wanyama na ndio maana, wanyama wanaishi kutokana na mazingira, ila sisi tunabadili mazingira ili yakae tunavotaka, kwa kushirikisha ubongo, tunatengeneza green house, tunachimba maji tunatengeneza sola, Ic, navingine, ila wanyama wakiona ukame wanaamia mahali pengine, icho unacho sema ni shortcuts, pambana ki halali utatoboa japo sio kila tunachopanga kinakua kama tunavyo taka
 
mshamba_mkuu

Expert Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,527

kama unataka utajiri, sio pesa ya kujikimu, utajiri....

basi lazima upite shortcuts, au upate bahati,

hakuna namna nyingine

bisha, ila uijaribu utaona
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,977
Reaction score
28,816
Points
2,100
science na logic vina majibu ya karibia kila kitu
Even sience changes over time. There was a time they believed Atom is the smallest particle to ever exist.

Today we see there are smaller particles than atom which are proton, neutron and electron

I'm terms of Logic as you say!
Is it logical to deny something you haven't seen? or proven yet?
 
Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,900
Reaction score
3,988
Points
2,100
kama unataka utajiri, sio pesa ya kujikimu, utajiri....

basi lazima upite shortcuts, au upate bahati,

hakuna namna nyingine

bisha, ila uijaribu utaona
tunatofautiana kimtazamo, mimi mitazamo yangu mingi imeegemea kwenye Ukristo kwahyo, tutabishana bure
 
mshamba_mkuu

Expert Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,527
Points
2,100
Even sience changes over time. There was a time they believed Atom is the smallest particle to ever exist.

Today we see there are smaller particles than atom which are proton, neutron and electron

I'm terms of Logic as you say!
Is it logical to deny something you haven't seen? or proven yet?
ndio maana tunaegemea kwenye science, vitu vinabadilishwa vikithibitishwa ni uongo, kuna maendeleo

kuhusu mungu, huwezi hakiki yupo, huwezi hakiki hayupo, utajichosha

swali la ulimwengu umetoka wapi halina majibu

atheists tunachokifanya ni kukana miungu ya kwenye vitabu
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,977
Reaction score
28,816
Points
2,100
ndio maana tunaegemea kwenye science, vitu vinabadilishwa vikithibitishwa ni uongo, kuna maendeleo

kuhusu mungu, huwezi hakiki yupo, huwezi hakiki hayupo, utajichosha

swali la ulimwengu umetoka wapi halina majibu

atheists tunachokifanya ni kukana miungu ya kwenye vitabu
Umeshimdwa hakiki Mungu yupo kosha unasema ni uongo🤣 sasa uongo umeuthibitisha vipi?

Physics ask question like: How did our Universe begin and how will it end?
mbona huiti given theories uongo? theory sio nadharia ??
 
mshamba_mkuu

Expert Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,527
Points
2,100
Umeshimdwa hakiki Mungu yupo kosha unasema ni uongo🤣 sasa uongo umeuthibitisha vipi?

Physics ask question like: How did our Universe begin and how will it end?
mbona huiti given theories uongo? theory sio nadharia ??
mpaka iitwe nadharia lazima iwe na ushahidi kidogo, ila sio uhakika

sibishi kwamba mungu yupo, nabisha hawa wa kwenye vitabu

afu naona dhana ya mungu ni ngumu mno kwa binadamu kuielewa ndio maana miungu ya kwenye vitabu iko hivyo
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,977
Reaction score
28,816
Points
2,100
mpaka iitwe nadharia lazima iwe na ushahidi kidogo, ila sio uhakika

sibishi kwamba mungu yupo, nabisha hawa wa kwenye vitabu

afu naona dhana ya mungu ni ngumu mno kwa binadamu kuielewa ndio maana miungu ya kwenye vitabu iko hivyo
Wewe achana na miungu ya wenzako isikusumbue
Unajuaje kuwa Mungu mmoja anaabudiwa kwa niia tofauti. Dini nyingi zinafanana isipokuwa mambo ya kipagani yameingizwa ndani yake
 
Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,738
Reaction score
6,286
Points
2,100
Mada kuntu sana yani hapa nilipo nawaza sana wapi nipate walau ka kazi nipate kupata vihela hata vya ada next installment, plus vinauli nauli n.k

Jana nilikuwa na mwanangu ananiambia nibet kanionesha na muamala kapiga elfu arobaini ila nilishasema sibet ng'ooo hapa bado nawaza

Ila mafanikio kujituma
 
The great manenge

Expert Villager
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
2,100
Mada kuntu sana yani hapa nilipo nawaza sana wapi nipate walau ka kazi nipate kupata vihela hata vya ada next installment, plus vinauli nauli n.k

Jana nilikuwa na mwanangu ananiambia nibet kanionesha na muamala kapiga elfu arobaini ila nilishasema sibet ng'ooo hapa bado nawaza

Ila mafanikio kujituma
Usije kuingia kwenye.bet
 
Similar threads

Wakuu niaje? Je watu wanao kaa mji wa nyumbani(watu wasio enda mbali na nyumbani) wengi wao wanakua na maisha yale yale na mara nyingi hawawezi kusonga mbele sana?...
Replies
3
Views
129
Ujasiriamali ni nini? Ujasiriamali ni uwezo na nia ya kuendeleza, kuandaa na kusimamia mradi wa kibiashara pamoja na uwezekano wowote wa hatari ya hasara ili kupata faida. Aina za ujasiriamali. Ujasiriamali uko wa aina nyingi. Lakini aina zote zinaangukia kwenye makundi makubwa matatu...
Replies
7
Views
197
Back
Top Bottom