- Jul 8, 2023
- 1,320
- 2,995
- 0
Habari za weekend kf....
Kwenye ulimwengu wa sasa hakuna options nyingine zaidi ya kupambana,uwe umesoma au hujasoma.
Changamoto za ajira ni kubwa sana,ajira ni chache kulingana na watu wanaozihitaji hapa nina maana kuna watu zaidi ya 7 wanahitaji ajira mmoja,wanahitimu ni wengi sana ebu cheki mtaani waliomaliza chuo mwenzi huu ni wengi sana,na wote hao wanahitaji ajira unaweza kuimagine kuna vita ya ajira kiasi gani mtaani.
Hao ni waliomaliza hapa tz sasa na waliomaliza kwenye mataifa mbalimbali ambao ni watanzania ni wengi sana,hii inatisha sana.
Sasa elimu ni kitu cha kawaida sana,mtu huwenzi kujisifu kisa cha kielimu chako cha chuo,kuna vyuo vingi sana na sasa kila mtu kaenda chuo.
Ili uweze kuishi kwenye ulimwengu huu wa sasa inatakiwa akili iwe bright sana the way unavyofikiri iwe tofauti na watanzania wengi,inatakiwa ufanye mambo yako nje ya mfumo huu ulizoeleka.
Kitu kitakacho kufanya ufanyikiwe kwenye huu ulimwengu wa watu waliosoma na wasio na ajira yakupasa kutumia nguvu na akili sana,usihishi maisha ya mazoea jitume kwa hali na mali maana hakuna option nyingine zaidi ya mapambano tu.
Hali ya ukosefu wa ajira ilishawakumba mataifa mbalimbali mfano miaka ya 80 china kulikuwa na huaba wa ajira sana,ajira moja waligombania watu zaidi ya 12 basi serikali ikatengeneza policy ya ::
**nguvu zako
**Akili zako
** uwezo wako ndo utakupa ajira.
Basi ikafanya watu kupambana zaidi yani mpaka sasa watu 5 wanaomaliza china vyuo wanagombania kazi moja.
Wenzetu wa Kenya wametuzidi mbali sana,wanaomaliza ajira hawasubiri kuajiriwa na serikali jamaa wana akili sana kila fursa inatokea duniani ndo wanakuwa wa kwanza kwenda nayo
Mfano::::
Ufugaji wa sungura
Ufugaji wa kware
Ufugaji wa mende
Ufugaji wa mbwa kibiashara
Ufugaji wa nyoka kwa ajili ya sumu
Hawa jamaa wana akili sana,ni watu wakwenda na fursa .
Taifa letu ni kubwa kuliko mataifa ya East Africa yani tuna maeneo mengi yenye rutuba na yaliowazi,mkimwambia aliyetoka chuo leo zama chimbo akuelewi kabisa,kwa hapa tanzania ukiamua kutoboa ni simple sana.
Hili tuwe na taifa lililo endelea na lenye nguvu kama china yatupasa sisi vijana kupambana yani tusitegemee serikali hakuna mtu atakaye kushika mkono,ni wewe na juhudi zako natambua mtu mwenye juhidi anafanikiwa.