Kwa Mtaji wa laki 3 unamshauri nini?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Hero
KF Founder
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,821
Reaction score
6,503
Points
2,100
Hili ni swali ambalo nimeulizwa ila nimeona nije niombe msaada kwa mabisnez mani wa KF

Ukizingatia mtu mwenyewe hawezi kutembea all the time mtaani anatafuta tu njia ya passive income

Ushauri wako

Gily
Kondeni0112
 

Similar threads

Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
236
Zab 10:1 Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida? Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada; Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha...
Replies
4
Views
416
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake!! Kwa Lugha...
Replies
2
Views
399
Weka codes za kila rangi lengo ni kumpasua kanjibahi hadi arudi kwao new delhi .remember bet what you can affors to loose
Replies
6
Views
432
Habari zenu, mimi ni mzima na tumaini na ninyi niwazima, moja kwa moja kwenye mada. Kama unajiusisha na ufugaji wa nguruwe au ulishawai fanya hii ishu, tafadhali naomba utupe uzoefu wako. A) utuambie nini siri ya kufuga awamabwana kwa faida? B) utuambie pia nikitu gani cha kuepuka ili tusile...
Replies
4
Views
503
Back
Top Bottom