Koo linauma nateseka dawa ni nini?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,775
Reaction score
6,378
Points
2,100
Wadau koo linauma ( Wanasaga ukitumia maji ya baridi, na kuna sehemu nilisoma ni et maambukizi kwenye tezi ) ila mimi sio mtumiaji sana wa maji ya baridi

Nilikunywa Panadol ila wapi yani na mafua yameniandama hapa sioni raha za dunia nimeshindwa hata kupoga code ili niurelease ule mfumowa Notes

Kwenu madakatri wa humu au ningojee nipone mwenyewe
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
8,084
Reaction score
29,327
Points
2,100
Una mafindo findo?

Ulikula kitu gani kisichoruhusiwa kuliwa ?
 
Nourhan

New Villager
Joined
Jul 15, 2023
Messages
23
Reaction score
68
Points
400
Wadau koo linauma ( Wanasaga ukitumia maji ya baridi, na kuna sehemu nilisoma ni et maambukizi kwenye tezi ) ila mimi sio mtumiaji sana wa maji ya baridi

Nilikunywa Panadol ila wapi yani na mafua yameniandama hapa sioni raha za dunia nimeshindwa hata kupoga code ili niurelease ule mfumowa Notes

Kwenu madakatri wa humu au ningojee nipone mwenyewe
Sio kila mtu anapata kwa kunywa maji ya baridi ni infection tu kwenye tonsils kapate dose ya ampiclox au azuma
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
8,084
Reaction score
29,327
Points
2,100
Maji vuguvuvugu na chumvi anajigogoa kooni chumvi ni antiseptic nzuri sana maji yatasaidia kupungua uvimbe atapata nafuu
Ila ushauri mzuri kutumia Azuma hawa madogo wanapenda wakipata demu wanapenda kunyonya vitu sivyo
 
Watoto wa kidugala

Active Villager
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
195
Reaction score
707
Points
1,900
Wadau koo linauma ( Wanasaga ukitumia maji ya baridi, na kuna sehemu nilisoma ni et maambukizi kwenye tezi ) ila mimi sio mtumiaji sana wa maji ya baridi

Nilikunywa Panadol ila wapi yani na mafua yameniandama hapa sioni raha za dunia nimeshindwa hata kupoga code ili niurelease ule mfumowa Notes

Kwenu madakatri wa humu au ningojee nipone mwenyewe
Pole sana shujaa , uwa inakuwaje ukianza kupata dalili za mafua ? Uanza kuumwa koo ? Kama sivyo una muda gani toka koo lianze kukuuma ?
Sema kitu shujaa baba mwenye nyumba wako niko hapa kukufunulia vitabu
 
Hakimu

Immortal Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,775
Reaction score
6,378
Points
2,100
Pole sana shujaa , uwa inakuwaje ukianza kupata dalili za mafua ? Uanza kuumwa koo ? Kama sivyo una muda gani toka koo lianze kukuuma ?
Sema kitu shujaa baba mwenye nyumba wako niko hapa kukufunulia vitabu
Yani kidogo leo afadhali nimeamka kidogo mzima, yani nina mafua malainiiii alafu na mafindofindo hapa nawaza kwenda kununua chest cof
 
Hakimu

Immortal Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,775
Reaction score
6,378
Points
2,100
Tatizo lako adabu huna
It Never Ends We Have A Problem GIF by Bridge and Tunnel on EPIX
 
Back
Top Bottom