- Jul 8, 2023
- 195
- 707
- 1,900
Skanka hatari tupu .Unataka ukavute Skanka South na makaburi![]()
Nataka nikaoshe macho kidogo maana maisha yamekuwa magumu Tanzania hakina Sanchoka naishia kuwaona huku mtandaoni wacha niende maumbo yaliyopopelekwa .
Japo kama ni vacation kwa kijana chini ya miaka thelathini itabidi wawe na barua ya uthibitisho kuruhusiwa na familia zao hasa wazazi wasije kulowea kwenye nchi za watu .