Kiasi gani cha pesa huliwahi kushika??

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Little

Active Villager
Platinum Villager
Jun 28, 2023
301
872
1,900
Kuna moja nilinunua ya miguu aisse ile massage unaweza jikuta umelala usingizi mzito
Nna moja nami ya mkono napenda kutumia sana kwa miguu sababu ya muscle cramps na yenyewe ina raha yake ila madogo ndo wanaipenda kuitumia ukiwafanyia nayo massage hapo hapo vinalala
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
Jun 4, 2023
6,950
22,283
2,100
Nna moja nami ya mkono napenda kutumia sana kwa miguu sababu ya muscle cramps na yenyewe ina raha yake ila madogo ndo wanaipenda kuitumia ukiwafanyia nayo massage hapo hapo vinalala
Nimetamani kununua umenikumbusha ya kwangu niliyogawa
 
Little

Active Villager
Platinum Villager
Jun 28, 2023
301
872
1,900
Nimetamani kununua umenikumbusha ya kwangu niliyogawa
Ukjwa nayo home ni raha ila mm napenda sana ile ya kitanda ukilala pale kile kiplate kikianza kupita mgongoni kikuzunguka mabega na shingo mwili na akili vyote vinatulia
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
Jun 4, 2023
6,950
22,283
2,100
Ukjwa nayo home ni raha ila mm napenda sana ile ya kitanda ukilala pale kile kiplate kikianza kupita mgongoni kikuzunguka mabega na shingo mwili na akili vyote vinatulia
Ila haizidi ya mikono. Ukute mwenye kufanya massage ana mikono laini. Machine inachagua baadhi ya maeneo😬
 
Little

Active Villager
Platinum Villager
Jun 28, 2023
301
872
1,900
Ila haizidi ya mikono. Ukute mwenye kufanya massage ana mikono laini. Machine inachagua baadhi ya maeneo😬
Huko mnaenda wenye mioyo miwili mimi mwenye mmoja hapana kwa kwel
 
Similar threads

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), zaidi ya watu milioni moja duniani kote wanaambukizwa magonjwa ya zinaa kila siku. Magonjwa kutosikia matibabu ni tatizo kubwa la magonjwa ya zinaa (STDs) au (maambukizi ya zinaa) na ni kikwazo kikubwa katika kudhibiti magonjwa ya zinaa, WHO ilisema...
Replies
10
Views
251
MAMLAKA ya Udhibiti wa Shughuli za Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imesema kiasi cha gesi asilia kilichogunduliwa hadi sasa chafikia kiasi cha futi za ujazo Trilioni 57.54. Aida PURA imesema tangu kugunduliwa kuwepo kwa gesi hiyo nchini hadi sasa wameshachimba visima 96 ambavyo kati ya hivyo 44...
Replies
2
Views
112
Umri ambao mwanaume ana uzazi mkubwa zaidi ni kati ya miaka 22 na 25. Inapendekezwa kuwa na watoto kabla ya kufikia umri wa miaka 35. Baada ya umri huu, uzazi wa kiume huanza kudhoofika. Baada ya miaka 35, manii inaweza kusababisha ujauzito ambapo mabadiliko yanaweza kutokea. Zaidi ya hayo...
Replies
10
Views
262
Ushalala kwa mwanamke? Ulikuaje? Ulilala kwa amani au ulikua uahofia njemba atakuja kugonga hodi saa yoyote? Wadau wanadai hatakama unalipa kodi kulala kwa mwanamke ni mwiko maana kuna alie lipia umeme, mwingine gas, na kuna alie nunua saboofer
Replies
0
Views
258
Replies
8
Views
470

Recommendation

See popular novels

Kijiji Q and A

Engage in smalltalk

Let's grow up

Greats moments ever

Top Bottom