- Jun 4, 2023
- 8,744
- 37,627
- 2,100
Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa mwanaume wakati wa tendo la ndoa hujulikana kwa kitaalamu kama “Pre mature ejaculation.” Premature ejaculation (PE) hii ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema sana kipindi cha tendo la ndoa na mara nyingi huambatana na kushindwa kumridhisha mpenzi wake.
Kimsingi mwanaume anatakiwa achukue dakika nne mpaka nane kabla ya kutoa mbegu za kwanza lakini watafiti wanasema tatizo hili hugundukiwa mtu anapotoa mbegu ndani ya dakika moja au kabla ya dakika moja.
Hapa wanaume tiririka au funguka unatumia njia gani kuzuia kumwaga mapema. Kama Una ufahamu ama ushasikia njia zozote ambazo hutumika kusogeza mda unaweza kushea. .
Maoni Yangu
1. Kwanza nimesikia kuwa kumeza panadol za Kenya na kunywa chupa moja ya energy inasaidia. Naona ni hatari kutumia energy kisha kushiriki mapenzi kwa kuwa hufanya mapigo ya moyo yaende mbio na wakati huo sex hufanya hivyo pia
2. Pili nimesikia ukinywa K vant basi utatafuta sana bado kwa nguvu nyingi ingawa sina uhakika na hili
-Gily-