- Jul 3, 2023
- 1,906
- 4,046
- 2,100
Naomba mnisaidie kama kuna faida yoyote sisi kama wa Tanzania tunapata kupitia mahusiano yetu na Russia ...
Ili swali limekuja baada ya kuona Mh. waziri mkuu Kassim Majaliwa ameudhuria kwenye mkutano huko Russia(The Russia Africa Summit 2023)..
Pia nkajiuliza kuudhuria huko kwa mh. waziri mkuu hakuwezi kuleta shida labda kuonesha kwamba tunamsapoti bwana Putin na mabaya yake? Mnieleweshe taratibu wajuzi wa mambo haya..