- Jun 3, 2023
- 2,832
- 6,525
- 2,100
Waswahili wanasema Tembea Uone!
Tanzania Hasa katika Mkoa wa Arusha Na Hasa katika Hifadhi ya Ngorongoro kuna Ziwa Natron ambalo Asili ya ziwa hilo Ni Nyekundu mpaka Kufikia huko Duniani watu kuliita ziwa Hilo Deadly Lake.
Kama unapanga kufanya utalii wa ndani Ngorongoro kwa kipindi hichi bhasi usisahau kwenda kwenye Ziwa Natron.
Ukaone maajabu ya Dunia..
Sasa Ziwa hilo limekuwaje na Rangi nyekundu Tofauti na Maziwa mengine au Sababu ni kama wasemavyo wazungu kuwa ni sehemu ya Kifo?
kwanza si ziwa zote Lina Rangi nyekundu Mwanzoni mwa ziwa huanza na Rangi ya kawaida ila mbele kidogo ndo huanza Rangi nyekundi..
Vifuatavyo ndo hufanya ziwakuonekana Jekundu au Rangi ya Damu..
Maji hayo yanapokuwa Yakievaporate , minerals kama sodium carbonate na trona (sodium sesquicarbonate) huwa zina precipitate, na kutengeneza White na grey pattern inayoonekana nuu ya Maji..
licha ya Ziwa hilo kuwa ni moja ya utalii kwa Macho pia kutokana na Predator wengi kushindwa kuishi huko bhasi hiyo imekuwa Ni Nyumbani kwa Aina ya Flamingo adimu zaidi duniani..
Wanaoitwa lesser flamingo (Phoeniconaias minor) ns ziwa hilo limefanikiwa kuwapa adptation ya Rangi ya pink..

- Microorganisms: Kutokana na kujaa chumvi nyingi na maji kuwa na Alkali nyingi Hupelekea kuvutia wadudu wa kipekee wanaoweza kuishi na kustrugle kwenye mazingira hauo "extremophile microorganisms for salty and akali water" thriving.....hawa halophiles (viumbe wanaopenda Mazingira ya chumvi) na halobacteriae (Bacteria wa mazingira ya Chumvi) hutengeneza pigments, fulani aina ya carotenoids, ambayo ndo hufanya mazingira ya Ziwa kuwa Mekundu au orange..
- Iron oxide: Maji yanapopungua sana, lle iron oxide-rich sediments ilioko chini huyaathiri Maji and further intensifying the red coloration.