- Jul 3, 2023
- 1,906
- 4,046
- 2,100
Zab 10:1
Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida?
Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada;
Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha kabisa, waingereza wanasema (amekupa kisogo)?
Naam kama umeshawai kuwaza kwa namna hii ujue wewe sio wa kwanza, kuna mashujaa na watu wenye cv kubwa tu kwenye imani walishapitia magumu wakakaa chini wakamuuliza baba hivi upo, au umejificha, mbona uko mbali wakati nateseka? (Zaburi 10:1)
Ni hivi baba hayuko mbali, ajajificha, ajakususa, wala kukupa kisogo yeye sio mwanadamu yeye ni Mungu wapekee, tena ni mwaminifu, asemi uongo...
Yuko na wewe, anza kujifunza kumuona yeye kabla ya tatizo, hata wakati wa changamoto, utaenjoy nakwambia...
Anasema yeye ni msaada wa karibu sanaaa wakati wa shida(zaburi 46), je unamuona Mungu kama msaada wako wa karibu? Unaamini yuko pamoja na wewe? Unaamini yeye ajawai kushindwa na lolote?
Au unaamini matatizo ndio yako karibu na wewe zaidi yake? Au unaamini matatizo nimakubwa kuliko yeye?
Uwe na siku njema... byee