- Jun 4, 2023
- 8,478
- 33,221
- 2,100
Wasalaam
Wakati wife yuko pregnant alipenda kula sana mapapai. Hii ilimpelekea shida kwa sababu chupu chupu mimba itoke. Hakuna kati yetu aliyejua kuwa mapapai yanaweza kusababisha mimba kutoka yakizidi.
Hivyo basi hapa kutakuwa na mchango wa mawazo mbali mbali juu ya vyakula salama kwa wamama wajawazoto. Je wewe au mkeo ulikuwa na ratiba ipi ya chakula ambayo ni nzuri kwa ukuaji wa mtoto tumboni na salama kwa mama mjamzito?