Binadamu anatakiwa ale mara ngapi?

Binadamu ale mara ngapi?

  • 1

    Votes: 0 0.0%
  • 2

    Votes: 0 0.0%
  • 5

    Votes: 0 0.0%
  • 7

    Votes: 0 0.0%
  • 8

    Votes: 0 0.0%
  • 9

    Votes: 0 0.0%
  • 10

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    4
Unajua kuna milo mingap kizungu? Ngoja nikufundishe
1. Breakfast - kifungua kibywa cha asubuhi
2 Brunch - Hii ni breakfast inaliwa mda wa luch
3. Lunch - Chakula cha mchana
4. Dinner - Chakula cha Jioni
5 Supper - Chakula cha usiku

Kuna daku hiki atakielesea @Katkit
Mda huu nakila unaitwaje
 
Unajua kuna milo mingap kizungu? Ngoja nikufundishe
1. Breakfast - [/subuhi
Sina experience kbsa na mambo ya misosi, nilishawaambia mimi sipendi kula hasa nikiwa pekeangu, naweza shindia crips.
 
Mara 3 per day hasa kwa wahanhaikaji
 

Similar threads

Baadhi ya watoto hawakujua kwamba maisha yao yalikuwa "hatarini" katika mji wa Suffolk nchini Uingereza kutokana na kuwepo kwa 'hemlock' kwenye njia yao ya kawaida ya kwenda shuleni, mmea wenye sumu ambao unaweza kumuua mtu ikiwa ataumeza. Hata hivyo, hemlock sio mmea pekee unaohatarisha maisha...
Replies
10
Views
196
@Gily kwa heshima na taadhima hii ningependa kukuomb upatapo muda hulete hiki kisa hapa japo kwa ufupi tena uedit huu uzi na kutuwekea hapo chini tujue jezebeli ni nani na alihusika vipi?
Replies
9
Views
441
Mambo ambayo mwanamke anatakiwa kujua kahusu sehemu zake za siri 1. Sehemu za siri zinajisafisha zenyewe Idadi kubwa ya wanawake, wana imani kuwa wakitumia bidhaa mbalimbali za urembo, kama sabuni basi ndio watajisafisha vizuri sehemu za siri. Hakuna haja ya kutumia chochote kusafisha sehemu ya...
Replies
12
Views
323

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top