Bank gani inahuduma bora kati ya CRDB na NMB?

Sun Wukong

Immortal Trickster
KF Founder
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,851
Reaction score
6,544
Points
2,100
Kutokana na umuhimu wa bank kwa matumizi mbalimbali leo ningependa ma expert wa humu kutoa nondo juu ya akaunti za bank na faida kwa mtumiaji wa namna fulani

Unaruhusiwa kujadili bank yeyote ila mimi ningependa tuanze na hizo hapo juu

Karibuni
 
CRDB ilikuwa inabebwa sana na serikali pale walipokuwa wanaweka fedha za serikali. Ila sasa Magu alipoingia madarakani akarudisha hela BOT. CRDB hata hisa zilipungua

kimtazamo NMB inafanya vizuri zaidi. Ukiangalia hata mwaka jana 2022 financial statement zinaonyesha NMB ime perfom vizuri zaidi
 
Duuh basi bomba sana NMB
 
Hao NMB mwaka 2016 nilipoteza kadi nikarequest mpya sikuipata walinisumbua miez 6 nenda rudi nkasema ctatumia tena hyo bank. Mwaka jana pia nilipoteza kadi ya CRDB within two weeks baada ya kuomba mpya nikapatiwa.
 
Unapotezaje kadi hivyo
 
kwa kaskazini CRDB iko bomba, nikimanisha availability na accessibility ziko karibia kila konaa, yaani branches, microfinance windows, ATM, na wakalaz..
 
Similar threads

Umri ambao mwanaume ana uzazi mkubwa zaidi ni kati ya miaka 22 na 25. Inapendekezwa kuwa na watoto kabla ya kufikia umri wa miaka 35. Baada ya umri huu, uzazi wa kiume huanza kudhoofika. Baada ya miaka 35, manii inaweza kusababisha ujauzito ambapo mabadiliko yanaweza kutokea. Zaidi ya hayo...
Replies
10
Views
352
Ushalala kwa mwanamke? Ulikuaje? Ulilala kwa amani au ulikua uahofia njemba atakuja kugonga hodi saa yoyote? Wadau wanadai hatakama unalipa kodi kulala kwa mwanamke ni mwiko maana kuna alie lipia umeme, mwingine gas, na kuna alie nunua saboofer
Replies
0
Views
291
Replies
8
Views
539
Katika maisha ya kimapenzi yapo mengi ya kuvumilia ili kuweza kudumu na huyo uliyetokea kumpenda ila sio usaliti. Ukweli hauwezi pingika mapenzi yanauma sana. Ikitokea umemfumania mpenzi wako kitandani akiwa na mwanaume au mwanamke mwingine utachukua maamuzi gani?
Replies
14
Views
623
Umwa sana Hitaji pesa Anzisha biashara/shughuli yenye kuwahitaji sana Oya wakuu hii ni quote tu marafiki wapo na wanafiki wapo watakupenda kwa namna flani ila baada ya muda hawako na wewe Tupambane together tuijenge KF as members
Replies
11
Views
380
Back
Top