Mbali ya kuwa na ndevu hizi humfanya mwanaume avutie zaidi kwa mwanamke, hizi ni faida za kiafya za mwanaume kufuga ndevu;-
1. Ndevu hulinda uso dhidi ya kemikali hatari pamoja na hewa chafu ambazo kimsingi husababisha uharibu wa chembe chembe hai za mwanadamu. Pia husaidia ngozi ya...