Tanzania imebarikiwa kuwa na vivutio vingi na maeneo manzuri ya kupendeza,katika kuzunguka kwangu tanzania kweli macho yangu yalikutana na maeneo manzuri sana,location kali za kula bata,upepo mnzuri na sauti nzuri za ndege zitakufikirisha mbali sana,huwq napenda kutalii maeneo yaliyotulia yenye...