Magazeti Ya Leo

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

  • Locked
  • Sticky
Before posting, please adhere to the following thread rules Kumbuka kuonyesha chanzo cha habari "source" chini baada ya kuweka habari kutoka kwenye magazeti katika Kijiji Unatakiwa kuweka taarifa kutoka kwenye magazeti ya siku husika. Hairuhusiwi kuweka taarifa ya magazeti ya siku zilizopita...
Replies
0
Views
755
Dodoma. Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limetoa wito kwa wananchi wote wanaomiliki au wanaouza mavazi, viatu, mabegi na vitu vinavyofanana na sare za majeshi nchini kuvisalimisha ndani ya siku saba kuanzia leo. Wito huo umetangazwa leo Alhamisi Agosti 24, 2023 jijini Dodoma na Kaimu...
Replies
3
Views
1K
Dar es Salaam. Mkutano wa wajumbe zaidi ya 200 wa Kanisa Katoliki Tanzania umeibua mitazamo tofauti kuhusu uwezekano wa watu wenye ulemavu kuingia katika malezi ya wito wa utawa na upadri. Mjadala huo uliibuka wiki hii wakati wa kongamano la maadhimisho ya miaka 60 ya Konstitusio ya Liturujia...
Replies
16
Views
805
Kuna mambo huhitajika kuzingatiwa ili kuvutia kila wakati, ikiwamo mpangilio wa mavazi. Kwa kijana anayependa unadhifu na kutaka kupendeza katika kila aina ya tukio, hataweza kukosa kuwa na tai katika kabati lake. Imezoeleka tai mara nyingi huvaliwa maofisini na katika sherehe na shughuli...
Replies
4
Views
606
Dar es Salaam. Ubalozi wa Tanzania nchini China umewataka Watanzania wanaosafiri kwenda katika Jiji la Hong Kong kukamilisha taratibu za safari zao, ikiwemo barua ya mwaliko kutoka kwa mwenyeji ili kuepuka usumbufu utakaojitokeza. Taarifa iliyotolewa leo Jumapili Julai 2, 2023 na ubalozi huo...
Replies
2
Views
702
Dodoma. Hospitali ya Benjamin Mkapa imetaja gharama za kupandikizwa uume kuwa ni kati ya Sh6 milioni hadi Sh10 milioni. Hayo yamesema leo Jumanne Agosti Mosi mwaka 2023 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Dk Alphonce Chandika wakati akielezea vipaumbele vya bajeti kwa mwaka wa fedha...
Replies
11
Views
985
Butiama. Kwa jamii ya Wakurya wanaoishi katika Wilaya za Tarime, Butiama, Rorya na Serengeti ni jambo la kawaida kuona familia ikichumbia na kuoa binti kwa ajili ya kijana wake wa kiume alifariki dunia kabla ya ndoa, lakini akiwa amefikia umri wa kuoa lakini. Ndoa za aina hiyo hujulikana kama...
Replies
6
Views
1K
Dar es Salaam. Mtandao mpya wa threads umepungua matumizi ya watumiaji wake (Engagement) kwa karibu asilimia 70, jarida la Forbes limebainisha. Jarida hilo linaloangazia masuala ya masoko, teknolojia na mawasiliano, limesema mtandao huo uliozinduliwa Julai 5 mwaka huu ulipata watumiaji milioni...
Replies
5
Views
733
YANGA tayari imeshamtangaza kocha wao mpya kuwa ni Miguel Gamondi raia wa Argentina akiwa ndio bosi wao wa ufundi kuanzia sasa tayari kwa msimu ujao. Gamondi anakuja kuchukua nafasi ya Mtunisia Nasreddine Nabi ambaye aligoma kuongeza mkataba kuifundisha timu hiyo baada ya kuingoza timu hiyo kwa...
Replies
2
Views
735
Muktasari: Threads ambayo ni miongoni mwa mitandao ya kijamii inayomilikiwa na Mark Zuckerberg’s ambapo imepata umaarufu mkubwa baada ya kupata watumiaji wengi ndani ya muda mfupi. Dar es Salaam. Kampuni ya Meta inayomiliki mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram Jana Alhamis Julai 6...
Replies
17
Views
997
Dar es Salaam. “Wengi hawazingatii wajibu wao, kila mmoja hajui anatakiwa afanye nini, au tupeane mitihani kabla ya kuingia kwenye ndoa? “Mtu anaweza kuwa na vyeti vingi vya elimu lakini hajui wajibu wake wa ndoa ni nini. Ndani ya wiki mbili ndoa imevunjika na tulichangishwa kweli, inaumiza...
Replies
23
Views
1K
Dar es Salaam. Sakata la Jaji Mkuu, Profesa Ibrahimu Juma kuendelea kusalia kwenye nafasi hiyo limechukua sura mpya baada ya Wakili wa kujitegemea, Humphrey Simon Malenga kufungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu Masjala Kuu, Dar es Salaam kupinga kiongozi huyo kuongezewa muda wa utumishi huo...
Replies
2
Views
642
Mbeya. Sakata la uwekezaji bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World hatimaye limefika mahakamani leo Jumatatu Julai 3, 2023 jijini Mbeya. Kesi hiyo upande wa utetezi unaongozwa na wakili wa kujitegemea, Boniface Mwabukusi na Philipo Mwakilima Kesi hiyo...
Replies
2
Views
897
Askari Muhifadhi daraja la tatu, Charles Mafuru amenusurika kifo baada ya kushambuliwa na simba dume anayedaiwa kutoroka katika Hifadhi ya Taifa Ruaha. Askari huyo amejeruhiwa katika Kijiji cha Ilamba wilayani Kilolo katika mapambano ya kuudhibiti simba huyo anayetajwa kula mifugo. Akizungumza...
Replies
3
Views
572
Dar es Salaam. Mwanazuoni Profesa Issa Shivji amekosoa mkataba baina ya Tanzania na Dubai unaohusu uboreshaji na uendeshaji wa bandari, huku akishauri Bunge kubatilisha azimio la kuridhia mkataba huo wa awali. Profesa huyo ambaye ni nguli wa sheria amependekeza njia hiyo leo Jumatano Juni 28...
Replies
4
Views
594
Dar es Salaam. Sakata la Jaji Mkuu Profesa Ibrahimu Juma kuongezewa muda wa utumishi wa wadhifa huo sasa limetinga mahakamani baada ya wakili mmoja kufungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu Masjala Kuu, akipinga hatua hiyo. Wakili huyo, Humphrey Malenga amefungua kesi hiyo siku chache baada ya...
Replies
1
Views
640
Dar es Salaam. Mfanyabiashara Samwel Gombo na mwenzake Musa Chiduo wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka matano likiwemo la kughushi cheti cha kifo na wizi wa Sh102 milioni. Makosa mengine ni kughushi mukhtasari wa kikao cha familia, nguvu ya kisheria pamoja na...
Replies
15
Views
1K
Uchunguzi wa awali wa watu zaidi ya watu 250 waliojiandikisha kwa ajili ya huduma za kibingwa za kurekebisha maumbile (plastic surgery) umeanza leo Julai 14, 2023 katika Hospitaliya Rufaa ya Mkoa wa Tanga ya Bombo. Huduma hiyo ya kurekebisha maumbile inafanywa na madaktari bingwa 14 kutoka...
Replies
3
Views
1K
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema haitafunga maduka wala biashara ya mfanyabiashara yeyote kwa kuwa huo ndio utaratibu waliojiwekea. “Kwa sasa TRA haihusiki kufunga biashara au maduka ya mfanyabiashara yeyote na ikitokea mtu amejitambulisha kuwa ni mtumishi anayetoka katika ofisi yetu...
Replies
3
Views
957
Mbeya. Siku moja baada ya mwanafunzi, Esther Noah kupatikana akiwa hai, anaendelea na vipimo kwenye Hospitali ya Rufaa kitengo cha Wazazi Meta jijini Mbeya kwa ajili ya uchunguzi zaidi. Mwanafunzi huyo (18) wa kidato cha tano katika shule ya sekondari Panda Hill alidaiwa kupotea katika...
Replies
12
Views
785
Zambia. Taarifa za kusikitisha kutoka nchini Zambia zilianza kuenea wiki iliyopita baada ya mtoto wa mwezi mmoja na wiki tatu kufariki dunia baada ya wazazi wake kumwangukia wakiwa wanapigana. Tovuti ya Diamond Tv ya nchini humo imesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Reuben Wilaya ya...
Replies
5
Views
730
Back
Top Bottom