• Support Our Forum

    We use ads to help cover hosting and maintenance costs. Ads are kept clean and non-intrusive.

    If you're using an ad blocker, please whitelist our site or disable injected ads.

    To report bad ads or request an ad-free experience, contact us or click here.

    Thank you for supporting the community!

Health

This provides health communications, information, education and research products and services that advance leadership for health.

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

  • Sticky
Ugonjwa wa fangasi (Candidiasis) husababishwa na vimelea vijulikanavyo kwa kitaalamu kama ‘Candida albicans’. Vimelea hivi hushambulia jinsia zote lakini hushambulia zaidi wanawake sababu ya maumbile yao ya sehemu za siri kuwa na unyevunyevu kitu kinachopelekea wao kuathiriwa zaidi kuliko...
Replies
25
Views
547
Wadau koo linauma ( Wanasaga ukitumia maji ya baridi, na kuna sehemu nilisoma ni et maambukizi kwenye tezi ) ila mimi sio mtumiaji sana wa maji ya baridi Nilikunywa Panadol ila wapi yani na mafua yameniandama hapa sioni raha za dunia nimeshindwa hata kupoga code ili niurelease ule mfumowa...
Replies
25
Views
677
Virologists blow the whistle: MPOX is actually a known side effect of COVID Vax! Top doctors worldwide are stepping forward to expose the World Health Organization’s monkey-pox scare as a cover-up for known side effects linked to the COVID mRNA vaccines. According to leading virologist Dr...
Replies
0
Views
43
Je, kafeini ni ya kulevya? Watu wengi huendeleza uvumilivu wa kafeini. Hii ina maana kwamba mwili hubadilika na kuzoea kutumia kafeini kila siku. Baada ya muda, huenda tukahitaji kuendelea kuongeza ulaji wetu wa kafeini ili kufikia athari zinazohitajika za kuwa macho na uwezo wa kuzingatia...
Replies
23
Views
922
Inatokea mara chache sana kwa mwanamke kupata mimba mbili kwa wakati mmoja, au kupata ujauzito akiwa mjamzito. Wataalamu wanaorodhesha sababu tatu za kibaiolojia ambazo zinapelekea ugumu wa hilo kutokea: 1. Mayai kutozalishwa ama kutoka. Kawaida mwanamke anahitaji kutoa yai lenye afya ili...
Replies
2
Views
432
Je, ni umri gani napaswa kumpa mtoto wangu maziwa ya Ng'ombe? Baada ya umri wa miezi 12 (lakini sio kabla ya miezi 12), mtoto wako anaweza kupewa maziwa ya ng'ombe. Kabla ya mtoto wako kufikia umri wa miezi 12, maziwa ya ng'ombe yanaweza kumweka katika hatari ya kutokwa na damu ndani ya utumbo...
Replies
6
Views
347
Kuoga maji baridi Ni jambo gani la kwanza linalokuja akilini unapofikiria juu ya kuoga baridi? Faida za kuoga maji ya baridi Kwanza maji ya baridi hukufanya uchangamke, hili ni tofauti na maji ya moto. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Thrombosis Research Institute, watu wanaooga maji ya...
Replies
6
Views
329
Kupumua ni jambo muhimu zaidi kwa afya na ukuaji wa mtoto. Watu wote wanapaswa kupumua kupitia pua zao na sio kupitia kinywa chao. Pua imetengenezwa na kutayarishwa kupasha moto na kulainisha hewa inayoingia kwenye mapafu. Kuna baadhi ya watu ambao huwa na tabia ya kupumua kupitia vinywa vyao...
Replies
2
Views
249
Hutakiwi kumbusu mtoto sikioni: Ukimbusu mtoto sikioni. Imekuwa ni kawaida ya watu kubusu watoto masikioni, wasijue hii inaweza mletea mtoto kuwa kiziwi. Bush hili ambalo hutambulila kama 'Busu lisilo na hatia' linaweza pia mletea mtoto maumivu ya maisha inapotokea ngoma imepasuka. English: An...
Replies
1
Views
276
Kumekuwa na wimbi la vijana wanaokula mihogo mibichi wakiamini kuwa inaongeza nguvu za tendo. Kijana mmoja wa hovyo alisikika akisema 'nikila mihogo, karanga na nazi nakuwa na show kali hatari' Picha hii chini ni ya Mtoto aliyewahi kupata madhara kwa kula mihogo, Septemba 1986 Mwaka 1981...
Replies
27
Views
413
Mambo yanayoweza kukufanya ulale vizuri -Kupata kiamsha kinywa ndani ya nusu saa au saa moja baada ya kuamka, haswa kama unajisikia uchovu. Ni muhimu kula kitu ili kutuliza mzunguko wa damu na sukari. -Punguza unywaji wa kahawa au vinywaji vingine vyenye kafeini kwa kula chakula kama mbadala...
Replies
16
Views
350
Kuwa na kitambi ni lugha ya mwili ( body-language ) inayo leta ujumbe kwako kwamba mwili wako haupo salama tena. Kama una kitambi maana yake una mafuta yasiyo hitajika mwilini mwako. Hali hii kitabibu imaanisha kwamba, ogani nyinginezo zilizomo ndani ya mwili...
Replies
26
Views
488
Habari wanakijiji Wakati niko shule ya msingi tukifundishwa kuwa ukiumwa na nyoka unatakiwa ufunge juu ulipoumwa na nyoka kuzuia damu yenye sumu kisambaa mwilini. Hivi karibuni nimeona taarifa tofauti zikitolewa kuwa si sahihi. Taarifa zinasema "Baadhi ya watu hufunga kwa nguvu sehemu iliyoumwa...
Replies
5
Views
266
Kulingana na Utafiti uliofanyika huko nchini Japani wanadai Alarm zina madhara ikiwa utatumia kukuamsha kila siku. Alarm huongeza shinikizo la damu na kiwango cha moyo, mambo haya yanaweza kuwa na athari mbaya kwa afya yako kwa muda mrefu. Kuamka kwa kelele ya mshtuko kunaweza kuwa mbaya...
Replies
5
Views
244
Papai ni tunda la kushangaza na lenye afya. Ina 'antioxidants' ambayo hupunguza kuvimba na kupambana na magonjwa na kusaidia mtu kuonekana na umri mdogo. Virutubisho katika papai Kalori, Wanga, Nyuzinyuzi, Protini, Vitamini C, Vitamini A, Vitamini B9, Potasiamu, Kalsiamu na Magnesiamu. Faida...
Replies
5
Views
164
Ndizi ni mojawapo ya tunda linalopendwa zaidi duniani, likiwa limesheheni vitamini na madini. Ziko faida kadhaa za kiafya za ndizi ambazo ni muhimu kwa mlaji kula tunda hili. Faida hizi ni pamoja na: 1: Inasawazisha maji ya mwili "homoni": ndizi ina kiasi kikubwa cha potasiamu na vitamini B6...
Replies
6
Views
270
Hamjambo(msijibu)... Je umeshawai jiuliza kwanini na kupiga kooote mswaki lakini bado meno yanazidi kuwa ya njano? Na wengine mmeenda mbali kabsa mkatukana hadi kolugeti na waitidenti kwamba ni matapeli,, Sasa mimi nataka nikupige na kitu kizito kichwani,,,, Ukitaka kufanya meno yako yawe...
Replies
18
Views
279
Zaidi ya nusu ya watu duniani watakuwa na uzito wa mwili kufikia mwaka 2035 iwapo hatua hazitachukuliwa, limetahadharisha shirikisho la kupambana na unene wa mwili wa kupindukiaduniani, (World Obesity Federation ), limetahadharisha. Watu zaidi ya bilioni nne wataathiriwa, huku viwango...
Replies
9
Views
178
Dar es Saalam. Wakati wengi tukiamini maji ndiyo kinywaji pekee kinachoweza kutumiwa na binadamu kwa kiwango chochote bila kuwa na madhara, kitaalamu hali ni tofauti. Wataalamu wanatahadharisha kuwa unywaji maji kupita kiasi ni hatari kwa afya. Akizungumza na Mwananchi, daktari wa Hospitali ya...
Replies
18
Views
385
Kila mtu ana vijidudu katika miili yao vinavyoitwa bakteria na virusi. Kuna “bakteria wazuri” ambao hutusaidia kuwa na afya njema, lakini kwa kawaida virusi hutufanya wagonjwa. Antibiotiki ni dawa zenye nguvu zinazoweza kupambana na maambukizi na kuokoa maisha kwa kuua bakteria katika mwili...
Replies
8
Views
192
Back
Top