You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly. You should upgrade or use an alternative browser.
Friendship & Relationship
This forum is the space for sharing thoughts, discussuon, views, and experiences about relationships, love and intimacy. Discuss topics like breakups, loneliness, and how to make new friends as an adult.
Welcome to our community
Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login
Welcome to the Friendahip, Love and Relationships board!
Please send the moderators a direct message (DM) if you have any questions or issues you need help with.
The guidelines of this forum are as follows:
Please keep this forum PG13. While it is often impossible to discuss relationships...
Reject the marriage
Marriage is fraud, marriage is exploitation for a man, imagine that you have married a woman with a large dowry, she will come to live in your house, rent, food, clothing and even pads and her beauty or vouchers you will pay for her. that is exploitation, even if he has...
What does it mean if an older woman tells you she'd want you if she were your age?
I am getting uncomfortable about this. How do I live with this? Is this just innocent or she wants more?
Nikiwa mtoto nilikuwa na ndoto za kuwa daktari au engineer. Ukubwani nimekuwa mfanyabiashara, ingawa ndoto zangu za utotoni bado ziko moyoni mwangu.
Nikitaka kusomea udaktari itanichukua miaka 3 ya diploma, miaka 5 degree, mwaka mmoja internship kitu ambacho naona ugumu kusoma, ilihali nina...
May the magic of Christmas gladden your heart with the joys of the season. May the spirit of Christmas bless you with greater strength. May the promise of Christmas bring you and yours endless blessings.
Merry Christmas to you all..
Kwa wale ambao mko kwenye changamoto mbalimbali Mungu...
Hello kijiji forums
Hope mko good, na wale ambao mko na changamoto mbalimbali nawaombea to our Almighty Allah wote mkawe healed kwa namna moja au nyingine 🤗🤗🤗
To be honest nimewamisi sana sana sana sana( Cause nawapenda sana🥹), nimemisi uwepo wenu jukwaani jamani.. Kila nikija kwenye hili jukwaa...
Let me sing 🎤
Makofi tafadhali
It’s been a long day,
Without you my friend,
And I’ll tell you all about it,
When i see you again,
We’ve come a long way,
From where we begin,
And I’ll tell you all about it,
When i see you again,
No way out...
Nimekutana na ex wangu leo nilitamani kukutana nae siku moja nimulize kwa nini aliniacha?
Nikamuuliza kwa Nini ulivunja mahusiano? Akanijibu "kwa sababu hakuwa ananipenda"
Hii imenifanya niwaze sana. Nimewaza kwa sababu mara ya mwisho kusex nilimkalisha kifo cha mende. Baada ya dakika...
1. Usioe kwasababu huyo mwenzi wako mmekutana katika biashara zinazofanana.. kwahiyo ukahisi kwamba kwakuwa biashara anayoifanya na wewe unaifanya basi mtakuwa na Ndoa nzuri! Kwasababu Ndoa ni zaidi ya biashara
2. Usioe au kuolewa kwasababu huyo mpenzi wako mnasoma KOZI sawa kwahiyo ukahisi...
Najiona wa tofauti sana....
sina dini,
sinywi pombe,
sishabikii michezo, mpira, mieleka sijui nini nini vimenipita kushoto😅
na ukubwa wangu wote huu bado naangalia 'katuni'
Yaani nikijilinganisha na watu wa rika langu najiona tofauti kabisa, kuna vitu nilikua nafanya kwa kuiga ili na mimi...
We are born five kids and I'm third born in line, two girls and three boys. Sad thing is I get along well with my sisters, but with my brothers we fight alot. If my brothers were strangers wouldn't be friends with them at all.
Mficha maradhi kifo humumbua, nateseka naumia sana toka niachane na ex wangu. Tulikuwa na uhusiano miaka 2 iliyopita, baada ya kufuma message WhatsApp namtongoza msichana mmoja hivi mtaani akavunja mahusiano.
Kifupi tu yule msichana wa mtaani sio kuwa nilimpenda. Si mnatambua ndugu zangu kuwa...
Katika maisha ya kimapenzi yapo mengi ya kuvumilia ili kuweza kudumu na huyo uliyetokea kumpenda ila sio usaliti. Ukweli hauwezi pingika mapenzi yanauma sana. Ikitokea umemfumania mpenzi wako kitandani akiwa na mwanaume au mwanamke mwingine utachukua maamuzi gani?
Wakuu ni uwakika?
Mimi niko gud Mungu ni mwema.
Sasa wandugu mimi nalileta kwenu jambo hili rafiki yangu alinishirikisha ili nimpe maushauri..
Jamaa yangu ana mke wake na amebahatika kupata ujauzito una miezi kama sita sasa, katika miezi yote ya ujauzito mambo yalikua sawa kabsa, ila kwanzia...
Mmeamkaje
Mke wa rafiki yangu anamsaliti mshikaji bila yeye kujua.
Jamaa anaishi mtaa wa nne kutoka hapa nilipo.
Mke wake anatoka na jamaa mmoja anaitwa Athumani. Wanajiachia hadharani bila kujali kuwa nafahamu hili
Jana usiku nimekutana na mshikaji wangu wakati nazungumza nae mkewe anasema...
habari zenu..
nimekuwa mtu wa mashaka sana kuingia kwenye maisha ya kuishi na mwanamke,mimi ni mkiristo huwa nafikiriaga sana kubadili dini ilinipate mwanamke aliyeshikilia dini sana,kwa sisi wa kristo huwezi pata mwanamke aliyeshikilia dini haswa,kuna walio okoka ila dini hawajui kwenye...
Wakuu bwana mimi naona kwenye haya maisha yangu kupenda au kupendwa ni kupotezeana muda
Hua hakuna marefu yasiyo na ncha, unajua unaweza mpenda mtu alafu yakaibuka mengine
More safe kubaki mwenyewe, hakuna haja ya kuoa hakuna haja ya mpenzi
Hii itakufanya ujihisi strong sana na mwenye maamuzi...
babu zetu wake zao hawakuwasumbua,walipoanza zimaneno walihama nyumba tu wahamia nyumba ya mke wa pili,ujazaliwa na mwanamke yanini akupe stress??
wanaume tunakufa mapema kwa sababu ya stress zinazotoka kwa wqanawake,sasa nakuambia usipate stress kutoka kwa mwanamke akikushinda achana naye...